Machimbo ya dhahabu bado nayadai

Boss sisi madini tumeyasoma sana darasani,we did Bsc in Geology but no one dare kujiingiza kwenye biashara ya madini maana si mchezo kwenye exploration unaweza ona mzigo upo but kwenye production hampati kitu,dah acha tuajiriwe tu ila kwenye madini usifanye peke yako mfanye wengi kushare risks
 
yaani kwenye exploration uone mzigo ila ukifanya mining hamna kitu, hyo exploration mlifanya mpaka stage gani?
 
N

yangalata pamepoa sana
Nyamishiga hakuna jipya watu wameunguza mitaji
Kalole hakuna jipya
Busulwangiri hakuna jipya
Ni kweli mkuu kweli unazijua hizo sehem vyema biashara ya uchimbaji inahitaji moyo japo hamna kitu ila wahuni wanakomaa hivyohivyo ila hakuna kitu kabisa
 
Hao jamaa wanaokamatwa na kilo kadhaa za ADHABU wanazitorosha toka Chunya, wanazipata wapi?!!!!
 
Hao jamaa wanaokamatwa na kilo kadhaa za ADHABU wanazitorosha toka Chunya, wanazipata wapi?!!!!
Unakuta ni watu kadhaa kila mmoja amekamatwa na gram kadhaa kwenye utangazaji maredioni wanatangaza total iliyokamatwa, wanatangaza general catch akili za kuambiwa changanya na zako
 
Nimeona ata uku lushoto kata ya Vuga mashimo Kila sehemu watu wanatafuta Dhahabu ila naambiwa wanaambulia vipoint point ila Kuna kipindi walikuwa wanapiga Hadi Kuna baadhi wamenunua Hadi coasters,
 
Inaendelea **
Siku mchimbaji akipata maokoto, utamjua tu 😀,halafu ni waaminifu anaenda dukani, kuuliza nadaiwa kiasi gani vile?

Basi bwana, siku hiyo ni Cash cash /

Kwa watu wanaouza vifaa vya plumbing, mgodini kuna wateja wengi!!! Matank, pipes, pampu n. K
 
Kurukaruka na milio sio guarantee ya kupata hela kwenye dhahabu, kuna watu wametulia sehemu moja na wametoboa, labda wewe ni mponjaji.
 
Ni kweli mkuu kweli unazijua hizo sehem vyema biashara ya uchimbaji inahitaji moyo japo hamna kitu ila wahuni wanakomaa hivyohivyo ila hakuna kitu kabisa
Huko wakati pameanza kutema tulipata mpunga haswa ila palipoanza kudoda tulizika mpunga haswa mambo ya dhahabu ni kamari
Haswa kwa tusiokuwa na mitambo
Ya kupimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…