Tumpara Dudu JF-Expert Member Joined Nov 15, 2016 Posts 662 Reaction score 606 Jan 2, 2026 #1 Habari za mda huu wakuu? Kama kichwa Cha habari kilivyoeleza hapo juu. Naomba kujulishwa MACHIMBO ya jumla ya bidhaa za BUCHANI mfano samaki,nyama,kuku wa kienyeji na broiler na
Habari za mda huu wakuu? Kama kichwa Cha habari kilivyoeleza hapo juu. Naomba kujulishwa MACHIMBO ya jumla ya bidhaa za BUCHANI mfano samaki,nyama,kuku wa kienyeji na broiler na
albab JF-Expert Member Joined Jul 6, 2018 Posts 2,070 Reaction score 3,517 Jan 2, 2026 #2 Mmmmh hii mbona ngumu.... Ila naamini yapo sema ukitaja humu umewachoma Machimbo ya kuku unamaanisha wale waliokufa wakatupwa au kuchinjwa kimagendo sio
Mmmmh hii mbona ngumu.... Ila naamini yapo sema ukitaja humu umewachoma Machimbo ya kuku unamaanisha wale waliokufa wakatupwa au kuchinjwa kimagendo sio
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 12,115 Reaction score 27,719 Jan 2, 2026 #3 Nyama nenda kiwalani kule vingunguti sokoni, samak feri, kuku nenda soko la Kisutu
K kinondoniilala JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 2,173 Reaction score 3,102 Jan 2, 2026 #4 Kalaga Baho Nongwa said: Nyama nenda kiwalani kule vingunguti sokoni, samak feri, kuku nenda soko la Kisutu Click to expand... Kuku nenda soko la shekilango unapata kitu OG unachinjiwa ukitaka kupikiwa unapikiwa pia kwa bei chee Ukitaka ndizi nenda soko la ndizi pale Mabibo nyuma ya urafiki karibia na Chuo cha usafirishaji Ukitaka unga na mchele na mazao yote ya nafaka nenda Tandale Ukitaka nyama ya ngombe na mbuzi nenda Vingunguti Ukitaka samaki fresh nenda Posta Ferry karibia na Ikulu Nitarudi
Kalaga Baho Nongwa said: Nyama nenda kiwalani kule vingunguti sokoni, samak feri, kuku nenda soko la Kisutu Click to expand... Kuku nenda soko la shekilango unapata kitu OG unachinjiwa ukitaka kupikiwa unapikiwa pia kwa bei chee Ukitaka ndizi nenda soko la ndizi pale Mabibo nyuma ya urafiki karibia na Chuo cha usafirishaji Ukitaka unga na mchele na mazao yote ya nafaka nenda Tandale Ukitaka nyama ya ngombe na mbuzi nenda Vingunguti Ukitaka samaki fresh nenda Posta Ferry karibia na Ikulu Nitarudi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,945 Reaction score 193,992 Feb 8, 2026 #5 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
ormystatus JF-Expert Member Joined Nov 3, 2019 Posts 262 Reaction score 464 Feb 10, 2026 #6 kama upo Dar na unahitaji Samaki wa Jumla nicheki 079 531 536 9