Machawa kuendelea kuomboleza

Machawa kuendelea kuomboleza

Hapana, ni kwa maujanja ya kuwahenyesha manyumbu kinomanoma......si unaona Sasa hivi minyumbu ilivyokosa hoja?!!🤣🤣🤣
Imegeuka kuwa zaidi ya mitahira. Kwa mfano, hivi hapa ndo imeanzishwa mada matata hapa yenyewe.
Machawa mnatakiwa muunganishe eda baba yenu wa kambo kafa
 
Ama kweli Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ni NOOOMA. Yaani minyumbu ndo imekuwa mindondo kiasi hiki?!!!! Tena mingine mizee kabisa?!!!😳😳😳

Huyu mama hapana aisee!!
Soon utaanza kunisifia na kuniita baba mdogo na first gentleman. Ninaenda kumuoa mama yako. Walai, kitu kiko tayari kunikubalia
 
Soon utaanza kunisifia na kuniita baba mdogo na first gentleman. Ninaenda kumuoa mama yako. Walai, kitu kiko tayari kunikubalia
Sasa punga kama wewe mama yangu si atakutia dole getini tu hata kabla hujaingia ndani?!!😏😏😏
 
Back
Top Bottom