melkisedeki kitunzi kaijage

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wakili Wasonga: Mhadhiri wa UDOM anatuhumiwa kuchoma majengo ya umma pamoja na makazi ya askari Polisi yote nchini

    Kesi ya Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kitunzi Kaijage, imeahirishwa hadi Agosti 27, 2026, huku upande wa utetezi ukieleza kuwa hatua inayofuata ni kuendelea na mchakato wa uchunguzi wa awali. Kaijage anakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi namba 16278 katika Mahakama ya...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Machapisho ya kitaaluma ya Ndg melkisedeki Kitunzi kaijage

    Naomba mwenye machapisho ya kitaaluma(articles) za lecturer melkesedeki kitunzi kaijage ayaweke humu jamvini tuweze kumjadili kitaaluma.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wahadhiri wa vyuo vikuu wangekuwa na umoja wangeitisha mgomo Tanzania nzima. Haiwezekani kufundisha juu ya haki ya kuandamana iwe ni ugaidi

    Taifa limekuwa kama taifa la Afrika kusini wakati wa utawala wa makaburu. Yaani mtu hana haki ya kufanya critical analysis hata kama ni msomi. Haki ya maandamano ipo kikatiba. Mwalimu akiwa anaifundisha darasani sio kosa na wala sio kuhamasisha ugaidi. Wahadhiri waamke waonyeshea mshikamano...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri UDOM akamatwa kisa Maandamano ya Sabasaba

    Chama cha Wafanyakazi wa Kitaaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA) kimesema mmoja wa wanachama wake, mhadhiri Melkisedeki Kitunzi Kaijage, alikamatwa na kushikiliwa na Jeshi la Polisi kufuatia tuhuma zinazohusishwa na maandamano ya Julai 7, maarufu kama Sabasaba. Kwa mujibu wa taarifa...
Back
Top Bottom