Machangudoa wengi wanakaa wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Machangudoa wengi wanakaa wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Simba Mkali, Sep 29, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 595
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Jamani nimekuwa nikukutana na machangudoa wengi sana maeneo ya mjini, kuna watu wanasema kuwa wengi wao wanaishi katika mageto huko Kinondoni na Buguruni, kuna wengine wanasema kuwa machangu wengi wako wengi Magomeni lakini kuna madai kuwa machangu wanaishi Mabibo, jamani hebu tusaidiane machangu hususan katika jiji la Dar Es Salaam wanaishi kwa wingi katika kitongoji gani? (Tafadhali sina mpango wa kuhamia huko teh teh teh).
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Kinondoni hands down.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Muhimu huwa ni kujua ofisi zao zilipo. Kuna mtu kalalama hapa kagundua jirani yake ni changu. Inshort, hata masaki wanaishi kutegemeana na class zao.
   
 4. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwa Tanzania ni illigal business hivyo hawawezu kuwa na ofisi rasmi!!! Ila kuna maeneo wanaishi kwa wingi japo hata wengine tunaishi nao majumbani mwetu maana unaweza kukuta hata ndugu yako ni CHANGU japo ana elimu kubwa!!! Si kuwa wote wenye kipato kikubwa ni changu!!! Wengine tunapishana nao maofisini mwetu mchana na usiku kazini!! Hakuna kulala!! Kuna mmoja alikuwa maskani yake kibiashara was the former Kilimanjaro hotel miaka hiyo but was an employee na msomi!! Alishatangulia mbele ya haki maana ARVs zilikuwa badi kipindi hicho, ni kufa kwa mateso tu.
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  ninaposema ofisi namaanisha pale ambapo anapatikana mara nyingi kwa biashara. So hata nikimpigia hair dresser wangu huwa namuuliza ' uko ofisini'. Ni lugha ya kuheshimu kazi ya mtu. So ohio, jolly, Corner bar, kndoni makaburini hizo ni ofisi pia.
   
 6. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapa umenitoa nduki kabisa. Nimecheka mno. Kuna bar moja maneo ya Sinza mori nasikia napo niofisi yao kuu (mweny jina aseme). Hivi wale waliokuwa club ya Macheni Magomeni walihamia wapi? Maana napo palikuwa ofisi kuu ya changudoa na mashoga halafu wote wanashindana kugombania mteja? Hivi macheni yupo tena nchi hii au alishatangulia? Kuna kipindi afya yake ilikuwa ina mgogoro!!!!
   
 7. mshana jr

  mshana jr JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 81,521
  Likes Received: 81,736
  Trophy Points: 280
  macheni yupo hai japo kazeeka wale wachangu na mashoga wametawanyikia bar za kariaoo magomeni tandale manzese buguruni na kinondoni
   
 8. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Yuko Macheni kazeeka lakini bling bling kama kazi,walikua na mgahawa pale kinondoni yeye na mkewe...
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  samahan,unataka kujua maeneo wanayoish au wanayofanyia shughuli zao?????
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  samahan,unataka kujua maeneo wanayoish au wanayofanyia shughuli zao?????na hao ulokutana nao ulijuaje kuwa ni machangu???
   
 11. g

  geophysics JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nilitaka nitoe jibu kama hili naona umewahi....ni kweli kabisa... kwa kujibu swali la mtoa mada..... mitaa ya uswahilini inaongoza kwa kuwa na watu hawa....
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  tandale Kambi ya Fisi
   
 13. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,190
  Likes Received: 1,543
  Trophy Points: 280
  Maeneo ya Sokota pale ni wengi sana na wanaishi kwenye Magheto ambayo pia hutumia ku host clients wao, pale Jolly napo naona kama wamepungua sana kulinganisha na miaka ya nyuma, i think wenda wengi wameokoka lol, ila kuna jamaa mmoja juzi nilipokuwa maeneo hayo nikamwuliza akasema ...vyuo vimefungwa kwa sasa!

  wengi siku hizi wanafanyia kazi zao Bar, hii ni kwa udadisi wangu ila si mdau
   
 14. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  kiukweli machangu wanatofautiana wapo wanaoishi gesti na wapo ambao wanakaaa kwenye mageto yao....kwa utafiti na kazi yangu ......ya uchunguzi machangu wengi dar wanaishi hivi......ifuatavyo

  1.mademu wengi wanaojiuza bar ya kimboka.....wanaishi guest flani...inaitwa kwa kayumba ipo vingunguti kidarajani...ukishuka tuu na gali utaonyeshwa

  2.mademu wengi wanaojiuza bar ya lambo manzese .....wanatoka uwanja wa fisi

  3.mademu wengi wanaojiuza corner bar sinza na meeda bar sinza.....wanaishi sinza kwa mugabe ukiulizia tuu...fanaleki bar and guest house,chagga bar guest house.....zote zipo mugabe sinza ukishuka tuu kwenye gali ...ukiulizia utapelekwa

  4.mademu wengi wanaojiuza jolly club .....wanaishi sinza elizabeth inn guest and bar house...ukishuka na gali sinza kumekucha utapelekwa tuu...sio mbali na kituoni

  5.mademu wengi wanaojiuza sewa bar buguruni wanatoka kinondoni kwa manyanya ukiulizia laki si pesa lodge...ukienda utawakuta....tuuu

  6.wapo mademu na mijijimama ambayo wenyewe hujiuza kwenye mageto yao.....na hawa wanapatikani mwananyamala hospitali ukishuka tuu kwenye daladala ulizia utafika,engine wapo temeke kwa sokota,wengine wapo tandika.....hawa bei zao ni buku 2 tuu

  7.mademu wengi wanaojiuza hoteli ya loyol palm na kempiksi.......kule posta hawa wanaishi kwenye nyumba zao na huwa wakija kujiuza hufika pale na magali yao ya kifahali.....na hawa huwa malipo yapo in terms of dollar

  8.mademu wengi wanaojiuza maisha club na billcanas hawa wengi wao....ni wanafunzi wa sekondari na vyuo vikuu ukitaka kuwapata ni vigumu sana

  9.mademu wengi wanaojiuza bar one masaki,didis club ya osterbay,sea cliff hotel pale masaki na slipway kule masaki hawa wengi wao huishi makwao na wengi wao.....viwanja hivi wakienda huwa wanataka tuu wazungu...wakiamini.....na madhumuni ya kupelekwa ulaya...........

  ni hayo tuuu hii ndio dar es salaaam..................:A S angel::yo::high5::rockon:
   
 15. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #16
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Kwani we hukai na wenzio?
   
 17. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  vitu kama hivi ni muhimu mtu kufahamu
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kwa maeneo ya kimakazi,hapa kinondoni maeneo ambayo machangudoa wengi wanaish maeneo ya KINONDONI MOSKO,WENGINE WANAISH MAENEO YA MWANANYAMALA,HAPA KUNA
  -MWANANYAMALA KOMAKOMA,MWANANYAMALA MCHANGANI,MWANANYAMALA KISIWANI,MWANANYAMALA HOSPITALI,MWANANYAMALA UJIJI,MWANANYAMALA KWA KOPA,MWANANYAMALA KWA MAMA ZAKARIA,MWANANYAMALA A NA B,MWANANYAMALA KWA MANJUNJU.
  -PIA KINONDONI SHAMBA,MSISIRI,NA B
   
 19. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Wengi wapo Buguruni na Mwananyamala.
   
 20. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Alaa; kumbe Macheni ana mke!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...