jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
![]()
Wanawake wanne raia wa Rwanda wametiwa mbaroni mjini
Dodoma kutokana na kuingia nchini kinyemela na kujihusisha
na biashara ya ukahaba.
Watuhumiwa watatu kati ya hao, Saidat Umotoni (28), Asha
Abimana (25) na Asia Umotoni Wase (30), hii ni mara yao ya
pili kukamatwa mjini hapa wakidaiwa kujihusisha na biashara
hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari jana Kaimu Ofisa
Uhamiaji Mkoa wa Dodoma, Proches Kuoko, alimtaja mwingine
aliyekamatwa ni Chalote Uwase (28) ambaye ameshahukumiwa
kifungo cha miaka miwili anachotumikia katika Gereza la
Isanga, mjini hapa.
Alisema wahamiaji hao wote kwa pamoja walikamatwa na
maofisa wa kikosi cha Uhamiaji, baada ya kupata taarifa kwa
kuwepo raia hao katika eneo la barabara ya Bahi ndani ya
Manispaa ya Dodoma.
Alisema wanawake hao walikamatwa usiku kwenye mitaa hiyo
huku wakiwa kwenye harakati za kutafuta wateja na
walipohojiwa wote kwa pamoja hawakuwa na hati ya kusafiria
na kuishi hapa nchini na walizokuwanazo zilikuwa zimeisha
muda wake wa matumizi.
"Hata walipopekuliwa, walikutwa wakiwa na hati ya kusafiria
iliyokuwa imeisha muda wake wa kuwawezesha kuishi hapa
nchini na walipohojiwa zaidi walisema wao kazi yao ni
uchangudoa,"alisema Kuoko.
cc murutongore
hii ni bonge ya aibu, murutongore and co mnavyojifanya rwanda=israel, how come dada zenu wanajiuza bongo? i thouht maisha ni mazuri mno rwanda, mashuleni kuna laptops za kumwaga, eeh, mabarabara kama NY, mpaka kikwete anaona wivu...inakuwaje sasa madada zenu wanachoka kimaisha mpaka wanafikia hatua ya kujiuza nchi za watu? east afrca nzima hukosi ma.la.ya wa kitut.si, lakini huwezi kusikia ma.la.ya wa nchi nyingine wanaenda rwanda why?