Machali: Niliondoka CHADEMA kwasababu ya siasa za wahafidhina

Dj-kobo

JF-Expert Member
May 5, 2013
458
193
Wakuu, katka hali isiyo ya kawaida moses machali akiongea ktka kipindi cha hotmix kinachorushwa na eatv jion hii,anasema yeye aliamua kuondaka chadema kwakua siasa za wahafidhina zilimchosha.
 
Zito quote "ZZK kumbuka cdm inapitia kipindi kigumu sana cha kukua kwa demokrasia,haya ni mapambano kati ya wapenda demokrasia na Wahafidhina
Mimi sitoki chadema,nitakua wa mwisho kutoka chadema,Nataka hao wanaotaka kunitoa wanitoe"
 
Machali siku zote anatumia CHADEMA icon kutaka kujijenga kisiasa, hajiamini na wala haamini kama NCCR inaweza kumfanya maarufu kisiasa.
 
anadai et alishiriki kujenga chadema kwa kutumia pesa zake lkn wahafidhina walimfanya ahamie nccr

kama alitumia hela yake kwa ajili ya chama ni mpuvavu na ndio maana hata jimbokeni kwake anatumia hela yake kwa kufanyia shughuli za maendeleo ambao ni upumbavu ulizidi kiwango kwa wabunge wa kitanzania. How comes mbunge unakuwa mtu wa kutoa kila kitu kama saccos? ni upumbavu maana kazi za mbunge sio kuwa ww ndo source ya hela.
 
Maombi Ya Aliyekuwa Askof Msaidizi wa Jimbo kuu Methodius Kilaini 'yalitunusuru' kupata Viongozi Wahafidhina 2010, Tunatarajia huko huko alipotupwa Bukoba ataendeleza Maombi yake 2015.
 
Zito quote "ZZK kumbuka cdm inapitia kipindi kigumu sana cha kukua kwa demokrasia,haya ni mapambano kati ya wapenda demokrasia na Wahafidhina
Mimi sitoki chadema,nitakua wa mwisho kutoka chadema,Nataka hao wanaotaka kunitoa wanitoe"

zzk anajidai kama punda eti hawezi kukamuliwa! anarusha mateke akitaka kuguswa. Atakamuliwa tu pamoja na kurusha mateke maziwa yatamtoka tu. Watu wameshakamua mpaka simba baba! zzk awe mpole tu akamuliwe kistaarab!
 
Huyu si ndiye aliyemsaliti Kafulila kwa kuvujisha habari zake kwa mwenyekiti wa NCCR kipindi kile Kafulila anautaka uenyekiti?

Wakuu, katka hali isiyo ya kawaida moses machali akiongea ktka kipindi cha hotmix kinachorushwa na eatv jion hii,anasema yeye aliamua kuondaka chadema kwakua siasa za wahafidhina zilimchosha.
 
Maombi Ya Aliyekuwa Askof Msaidizi wa Jimbo kuu Methodius Kilaini 'yalitunusuru' kupata Viongozi Wahafidhina 2010, Tunatarajia huko huko alipotupwa Bukoba ataendeleza Maombi yake 2015.

kati ya wabunge wa nccr wambao 2015 hawarud bungeni ni machali
 
kama alitumia hela yake kwa ajili ya chama ni mpuvavu na ndio maana hata jimbokeni kwake anatumia hela yake kwa kufanyia shughuli za maendeleo ambao ni upumbavu ulizidi kiwango kwa wabunge wa kitanzania. How comes mbunge unakuwa mtu wa kutoa kila kitu kama saccos? ni upumbavu maana kazi za mbunge sio kuwa ww ndo source ya hela.

Kudos comment nzito kwangu kwa siku ya leo
 
Zito quote "ZZK kumbuka cdm inapitia kipindi kigumu sana cha kukua kwa demokrasia,haya ni mapambano kati ya wapenda demokrasia na Wahafidhina
Mimi sitoki chadema,nitakua wa mwisho kutoka chadema,Nataka hao wanaotaka kunitoa wanitoe"

Jiridhishe kuwa ZZK keshatolewa CHADEMA ana nafsi nzuri sana kwenye chama chao kipya. Nakushauri ujiunge nao
 
kama alitumia hela yake kwa ajili ya chama ni mpuvavu na ndio maana hata jimbokeni kwake anatumia hela yake kwa kufanyia shughuli za maendeleo ambao ni upumbavu ulizidi kiwango kwa wabunge wa kitanzania. How comes mbunge unakuwa mtu wa kutoa kila kitu kama saccos? ni upumbavu maana kazi za mbunge sio kuwa ww ndo source ya hela.
Huyu mbunge alikuwa na hela za kutoa wapi wakati alikuwa ni masikini wa kutupwa na baba alikuwa mlevi balaa MEDICAL ATTENDANT wa kuamka na viroba walikuwa wamepanga kajumba kabovu nyuma ya kasulu sekondari
Kwanini mtu asikubali kuwa ubunge ilikuwa ni hasira za wanakasulu baada ya ccm kuweka mgombea bomu bwana Neka Rafael.
Jamaa mpaka sasa ana za akili za kimasikini masikini tu vijana hata wamuombe soda hatoi
Na asubili mwakani kama hajajenga atakuwa kama mwenyekiti wake kudadadeki
Wanakasulu wanalijua chuguo lao kijana machachali aliyekuwemo ktk wagombea wa CCM
 
whats new with Machali??,ni miongoni mwa wabunge ambao siwezi nikakaa kuwasikiliza kwani hana jipya lolote,mnafiki ni mnafiki tu,atuambie toka mwaka 2010 NCCR imezoa wanachama wangapi toka CCM au CHADEMA,Machali ni debe tupu kama Nape hana jipya lolote,mwache achonge domo mwaka 2015 atakapokosa kurudi bungeni ndio ataikumbuka CHADEMA,wao wanahangaika na kupiga domo sisi tunasonga na OPARATION PAMOJA!
 
Zito quote "ZZK kumbuka cdm inapitia kipindi kigumu sana cha kukua kwa demokrasia,haya ni mapambano kati ya wapenda demokrasia na Wahafidhina
Mimi sitoki chadema,nitakua wa mwisho kutoka chadema,Nataka hao wanaotaka kunitoa wanitoe"

mbona alikimbilia mahakamani sasa?
 
Back
Top Bottom