Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,595
Tatizo lao hawa. Brazaz and sistaz wamejisahau sana. Warudi nyumbani, afrika. Huku ndo kwao. Kule wataendelea kuwa wageni.
Maamuzi haya yangefanywa nchi nyingine,ungeona jinsi Marekani na wa2 wa haki za bnadam wanaingilia kati swala hili na kulivalia njuga.Ila kwa kuwa yamefanyika USA,nchi zote za magharibi kimya km hazijui kinachoendelea huko
Hao weusi wa marekani wenyewe wakijua wewe ni mweusi toka Africa wanakubagua lakini wazungu watakupa ushirikiano. Im sory for the little kid. Ila kwa hao wakubwa na msemo wa Pinda uwashukie.
Wewe hata usijitutumue sana mkuu,we amini unavyoamini tu ila kaa ukijua haitokuja kutokea watu weupe kutuona sie kama watu wa kawaida kwenye nafsi zao.
uko sahihi mkuu bora ukae na wazungu kuliko na Wanugu.wanaweza wakakushoot
Mambo Yao Kama wanageria .waende hukoKwa ni sehemu gani ya Africa? I mean kama wanaamua kurudi waingie nchi gani?
Ila wazungu washenzi sana basi tu!
Ubaguzi upo kwenye damu ht iweje wana pretend tu
Liar!Jury 3 black people 4 white 3 Latino .sasa hapo racism imetokea wapi
Mwongo!..Hivi ushawahi kukaa nao karibu au kuwa jirani au kifanya nao kazi .Kwanza wanaweza kukuua kwa dollar 2 ,wambea Hao wabongo wananafuu,Wakikutishia maisha hawatanii ,Wavivu mnoooo ,hawaaminiki,Wanawake wanazaa wewe na child support watahakikisha hulali usingizi.Racism ndio ticket ya kujitetea.umewaona mwenyewe kwenye tv .
Hivi ushawahi kukaa nao karibu au kuwa jirani au kifanya nao kazi .Kwanza wanaweza kukuua kwa dollar 2 ,wambea Hao wabongo wananafuu,Wakikutishia maisha hawatanii ,Wavivu mnoooo ,hawaaminiki,Wanawake wanazaa wewe na child support watahakikisha hulali usingizi.Racism ndio ticket ya kujitetea.umewaona mwenyewe kwenye tv .
Labda unaishi machimbo na matrash wenzako mliojazana welfare,kuna weusi all over US ambao ni business owners,Drs,Engineers,CEOs etc nenda Hamptons or Beverly Hills mamilionea weusi kibao tuu..wewe ukikutana na trash nyeusi na kusikiliza foxnews basi unafikiri weusi wote washenzi kama mabwana zako trash za kizungu mliojazana welfare na Medicaid mnakula bure ,racism ipo na wazungu wamejaa welfare kuliko weusi is a FACT,na acha kujidharau
Mwongo!..
Mademu wa kinugu kukuweka kwenye papers kazi sana. They often hold it down single handedly.
Whites lazima wakupeleke court.
Child support .... court paperz, u know.Unazungumzia papers gani? Kijani au...?
Child support .... court paperz, u know.
Mkeo tipwa tipwa hajambo? Mna watoto wangapi mpaka sasa?
Wee ulipotelea wapi au life ngumu?tipwa tipwa ni sampuli zako,changu kimetulia hata Halle Berry cha mtoto...acha nile maisha tuu and wish you well na mabeef yako
Experience yangu ni waaay different from yours I guess.Hmm...kama ni hizo basi sina hakika sana na ulichosema kwa sababu experience ya observations zangu ni kinyume na ulivyosema wewe.
Au labda inategemea sehemu na sehemu ambayo mtu yupo....
Experience yangu ni waaay different from yours I guess.
Mademu wa kinugu hawakupeleki mhakamani kirahisi kama wa kizungu. WENGI wao ukiwauliza wapi babydaddy anakwambia he aint shh.