Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,955
Hapa nilipo nimekamatika[emoji131]
tuliaHapa nilipo nimekamatika[emoji131]
SIO MIMI AISEE !SIPO HUKO TENA KAMWE NIPO KWENYE ULIMWENGU MWINGINE AM LIVING MY REAL LIFE NOW!
Hapo kwa ndugu ndio kwenye shida sana. Nahisi mawifi wapewe nafsi yao maana mh.......Relationship nyingine zina nafsi nne, mimi, wewe, sisi na ndugu zangu, hapo ni shida wakati mmoja wenu anashindwa kuelewe kuwa yuko kwenye mahusiano.
UPO REALUkoje huo ulimwengu mwingine uliopo?
Na hao mawifi wakiolewa nani atawapa nafasi kwenye ndoa zao?Hapo kwa ndugu ndio kwenye shida sana. Nahisi mawifi wapewe nafsi yao maana mh.......
usipende we ishi tu na mwenzioBahati mbaya mimi siwezi kupenda mtu kabisa
UPO REAL
asante babaAhsante mama mchungaji kwa maneno mazuri....
ha haha wale watu mnawapa airtime sana .. mimi naonekana na maringo ila sibadili gia ,, sitaki mtu anizoee hasa kama uniingizii pesa kaa mbali nami sikuchokozi usinichokozeHapo kwa ndugu ndio kwenye shida sana. Nahisi mawifi wapewe nafsi yao maana mh.......
utakua na undg na Miss NatafutaBahati mbaya mimi siwezi kupenda mtu kabisa
amina.Ubarikiwe miss chagga ila hapo kipengele cha mwisho nimecheka kwa sauti
Ungejua ambayo hunipendi huyo natafuta missutakua na undg na Miss Natafuta
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kwa nn hakupendiUngejua ambayo hunipendi huyo natafuta miss
Ni story ndefu si unajua Nyie watoto wa kike bana mambo yenu.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kwa nn hakupendi
lkn ww si umesema haupendi mtu na Miss hapendag wanaume kabisaNi story ndefu si unajua Nyie watoto wa kike bana mambo yenu.