Machache tukumbushane wana MMU

Mae umeongea vyema sana, ubarikiwe sana

Hapo point ya nne, ni vizuri kupuuzia au kuchukulia poa baadhi ya mambo (I mean Kuwa positive), but ikiwa ni kitu kinachojirudia sana, basi hakitakiwi kuwa kitu cha kupuuziwa, kinaweza pia kuwa red flag

Nilikuwa na rafiki angu college. Yeye kila ikifika saa 4 usiku, ikitokea wanaongea na simu usiku, boyfriend anajifanya amesinzia ghafla zzzzzzzz , inabidi shosti anakata simu (he he he nacheka kama mazuri, sijawahi kuona ule usingizi), . Shosti akipiga simu after hata nusu saa hivi anakuta simu ya bae ipo busy, (usingizi umekata ghafla) na hatotafutwa hadi kesho hiyoo. Akawa ana-assume kweli kapitiwa usingizi, ila baadaye Shosti etu "alipatwa"

Kuna babes wana mahaba hao j3 hadi ijumaa mchana, weekend ikianza tu mahaba kushney, ni hadi umtafute wewe, na atakwambia "ntakucheki baadaye", ikifika j3 asubuhi sweet honey baby nyingiiiii. Please changanya miguu

Kuna babes wapogo busy kila siku, so most of times hakutafuti, ila week akiwa anataka mzigo, he he he he utajiona malkia. "Mke wangu umekula, unafanyaje, umevaa nini", blah blah , yani kama kweli vile. Au awe binti sasa, akawa na shida uwii "baba angu, mume wangu mpenzi" mmmh Shtukaaaa

Inawezekana akawa hachepuki, but ni sign kuwa she/he is not that much into you. So sio kila kitu cha kuchukulia poa. Ila kama ni kitu cha kutokea mara moja moja ni sawa tu na inaeleweka, sio kitu cha kumuhisi mtu vibaya coz hakitokei daily. Kuna muda simu inakuwa mbali, u-busy upogo etc
 
kikiwa cha kujirudia lazima mzungumze .. swala la kupuuza nishauri zaidi wenye ndoa as long as hakudharau , hakupigi, anatunza familia na malengo ya maendeleo yanaenda just ignore him
 
kikiwa cha kujirudia lazima mzungumze .. swala la kupuuza nishauri zaidi wenye ndoa as long as akudharau , hakupigi, aatunza familia na malengo ya maendeleo yanaenda just ignore him
Eeeh kuna vitu kuna muda inabidi tu tuvipotezee, as long as havina madhara yoyote physically, emotionally Au spiritually. Au unaignore kumuepusha Shetani teh
 
Mae umeongea vyema sana, ubarikiwe sana

Hapo point ya nne, ni vizuri kupuuzia au kuchukulia poa baadhi ya mambo (I mean Kuwa positive), but ikiwa ni kitu kinachojirudia sana, basi hakitakiwi kuwa kitu cha kupuuziwa, kinaweza pia kuwa red flag

Nilikuwa na rafiki angu college. Yeye kila ikifika saa 4 usiku, ikitokea wanaongea na simu usiku, boyfriend anajifanya amesinzia ghafla zzzzzzzz , inabidi shosti anakata simu (he he he nacheka kama mazuri, sijawahi kuona ule usingizi), . Shosti akipiga simu after hata nusu saa hivi anakuta simu ya bae ipo busy, (usingizi umekata ghafla) na hatotafutwa hadi kesho hiyoo. Akawa ana-assume kweli kapitiwa usingizi, ila baadaye Shosti etu "alipatwa"

Kuna babes wana mahaba hao j3 hadi ijumaa mchana, weekend ikianza tu mahaba kushney, ni hadi umtafute wewe, na atakwambia "ntakucheki baadaye", ikifika j3 asubuhi sweet honey baby nyingiiiii. Please changanya miguu

Kuna babes wapogo busy kila siku, so most of times hakutafuti, ila week akiwa anataka mzigo, he he he he utajiona malkia. "Mke wangu umekula, unafanyaje, umevaa nini", blah blah , yani kama kweli vile. Au awe binti sasa, akawa na shida uwii "baba angu, mume wangu mpenzi" mmmh Shtukaaaa

Inawezekana akawa hachepuki, but ni sign kuwa she/he is not that much into you. So sio kila kitu cha kuchukulia poa. Ila kama ni kitu cha kutokea mara moja moja ni sawa tu na inaeleweka, sio kitu cha kumuhisi mtu vibaya coz hakitokei daily. Kuna muda simu inakuwa mbali, u-busy upogo etc
Shikamoo Benny
 
kikiwa cha kujirudia lazima mzungumze .. swala la kupuuza nishauri zaidi wenye ndoa as long as hakudharau , hakupigi, anatunza familia na malengo ya maendeleo yanaenda just ignore him
Vingine ukiignore hata kama mpo ndoani sio vyema, vinakuja kuleta madhara makubwa baadae, angalia na vya kuignore.
 
Nilikuwa sijamalizia hapo mwishoni, hapo kwenye pesa ungepasisitizia kidogo basi kwa kuwakumbusha wasiwe wachoyo
 
Back
Top Bottom