Si ulinisimulia, na naona unavyolalamikaga.Haha umem-date lini ukaona hizo sifa zake?
Matatizo yako usihamishie kwa wenzioBADO KUNA WATU WANADATE MIAKA HII?ACHANENI NA WANAUME ETI
kule wamesema hatuwezi kubakwa .. kwa hiyo wakalaleNgoja nirudi kule kwenye utetezi wa uhuru unapobakwa, sina hata hamu na mapenzi
kule wamesema hatuwezi kubakwa .. kwa hiyo wakalale
usijali katika jamii na wasio jiamini lazima itokeeMushkeli mushkeli ule ndiyo siupendi.