Kesho Machi 17 kwenye kumbukumbu ya Hayati Magufuli tutashuhudia unafiki wa wanasiasa wa Tanzania

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
11,479
Reaction score
12,092
Kesho kila mtu atajifanya alikua rafiki wa JPM hata maadui zake kesho wanaenda kutumia karata ya uzalendo wa JPM na wao kujifanya wanasisitiza watanzania kua wazalendo wakati ni kinyume chake.

Kesho tunaenda kuona na kushudia hata wale waliosema bahari imetulia au waliosema wabaya hawafi nao wakitoa hotuba zao kujifanya walikua marafiki wa JPM kesho ndo utaona unafiki wa wanasiasa wa Tanzania

Hakuna rangi tutaacha kuona wengine watalazimika kujiliza machozi ya Uongo wakati wanaonyesha unafiki wao watasahau kijana wa JPM wa kuaminika Polepole hajulikani yuko wapi muda sasa

Nitakuepo Chato na mimi nikiwashangaa hawa Wanafiki wa kutupwa
 
Kesho kila mtu atajifanya alikua rafiki wa JPM hata maadui zake kesho wanaenda kutumia karata ya uzalendo wa JPM na wao kujifanya wanasisitiza watanzania kua wazalendo wakati ni kinyume chake. Kesho tunaenda kuona na kushudia hata wale waliosema bahari imetulia au waliosema wabaya hawafi nao wakitoa hotuba zao kujifanya walikua marafiki wa JPM kesho ndo utaona unafiki wa wanasiasa wa Tanzania hakuna rangi tutaacha kuona wengine watalazimika kujiliza machozi ya Uongo wakati wanaonyesha unafiki wao watasahau kijana wa JPM wa kuaminika Polepole hajulikani yuko wapi mda sasa nitakuepo chato na mimi nikiwashangaa hawa Wanafiki wa kutupwa
#KATAA_WAHUNI
#JUSTICE_4_POLEPOLE
 
Kwani wewe huoni unafiki wao juu ya Nyerere? Wanawafunga vijana jela kwa kupost picha ya Mwalimu mitandaoni wakati wao wanashindwa kuenzi falsafa yake wanauza mpaka twiga. Hawa mbuzi ni wanaafiki mastupid kazi yao ni kututia aibu mbele ya mataifa mengine tu. Useless kabisa
 
Makaonda alikua mwanamtandao Magu alistuka mwishoni
Naye magu alikuwa mchafu tu. Yeye alianzisha mtandao wa wasukuma na viongozi wakatili. Wapi alipeleka pesa alizopora kwenye bureau de change?
 
Leta ushaidi nyie ndo mlisema kwa Magu kulikutwa na dola milioni 100 wanamtandao nyie Magu ana mapungufu yake but hakua fisadi
 
Nilete ushahidi wa hela kuporwa bureau de change, ama ww ndio useme aliziipeleka wapi? Kama hakuwa fisadi alimtoa CAG kwanini?
 
Kwani wewe huoni unafiki wao juu ya Nyerere? Wanawafunga vijana jela kwa kupost picha ya Mwalimu mitandaoni wakati wao wanashindwa kuenzi falsafa yake wanauza mpaka twiga. Hawa mbuzi ni wanaafiki mastupid kazi yao ni kututia aibu mbele ya mataifa mengine tu. Useless kabisa
Mwalimu nae alitengeneza vijana wahuni sana Angalia Museven angalia Kagame angalia Jakaya mwalimu atakua anasikitika sana
 
Kesho kila mtu atajifanya alikua rafiki wa JPM hata maadui zake kesho wanaenda kutumia karata ya uzalendo wa JPM na wao kujifanya wanasisitiza watanzania kua wazalendo wakati ni kinyume chake.

Kesho tunaenda kuona na kushudia hata wale waliosema bahari imetulia au waliosema wabaya hawafi nao wakitoa hotuba zao kujifanya walikua marafiki wa JPM kesho ndo utaona unafiki wa wanasiasa wa Tanzania

Hakuna rangi tutaacha kuona wengine watalazimika kujiliza machozi ya Uongo wakati wanaonyesha unafiki wao watasahau kijana wa JPM wa kuaminika Polepole hajulikani yuko wapi muda sasa

Nitakuepo Chato na mimi nikiwashangaa hawa Wanafiki wa kutupwa
Gentleman,
dhana potofu, nonsense na useless kama hizo kamwe haziwezi kumzuia mTanzania yeyote au kumnyima mwananchi uhuru na haki ya kusherehekea na kutafakari utendaji na maisha ya hayati J.P.Magufuli kama kiongozi wa kitaifa, katika siku ya kumbukizi yake itakayofanyika kesho.

waTanzania wote wana uhuru na haki ya kushiriki kumbukizi hiyo muhimu bila makasiriko au mihemko nonsense ya mwenye chuki nayo na watakaoshiriki.
 
Unataka kuniletea mazoea wewe ni bwana mdogo binafsi Una mambo mengi ya kujifunza
 
Nilete ushahidi wa hela kuporwa bureau de change, ama ww ndio useme aliziipeleka wapi? Kama hakuwa fisadi alimtoa CAG kwanini?
CAG huyu Huyu mwanamtandao aliesema mkataba wa bandari uko vizuri stupid kabisa sina cha kubishana na wewe jioni njema karibu chato
 
Kesho kila mtu atajifanya alikua rafiki wa JPM hata maadui zake kesho wanaenda kutumia karata ya uzalendo wa JPM na wao kujifanya wanasisitiza watanzania kua wazalendo wakati ni kinyume chake.

Kesho tunaenda kuona na kushudia hata wale waliosema bahari imetulia au waliosema wabaya hawafi nao wakitoa hotuba zao kujifanya walikua marafiki wa JPM kesho ndo utaona unafiki wa wanasiasa wa Tanzania

Hakuna rangi tutaacha kuona wengine watalazimika kujiliza machozi ya Uongo wakati wanaonyesha unafiki wao watasahau kijana wa JPM wa kuaminika Polepole hajulikani yuko wapi muda sasa

Nitakuepo Chato na mimi nikiwashangaa hawa Wanafiki wa kutupwa
Wakiongozwa na zero brain
 
Back
Top Bottom