Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,102
- 2,152
Eid Mubarak wana jamiiforms wenzangu natumai tunaendelea kusherekea kwa amani sikukuu ya Eid.
.
.
.
Kuna binamu yangu amechaguliwa kwenda advance shule ya MABWE TUMAINI GIRLS ipo wilaya ya kinondoni mkoa wa Dar es salaam.
Tatizo linakuja hii shule kila tunayemuuliza mahali ilipo haifahamu ilipo,kama inavyojulikana wilaya ya kinondoni ni kubwa.
.
.
Nimejaribu kutumia Google kuitafuta hii shule lakini nako nimeshindwa kupata ufumbuzi.
.
.
Napenda kuomba msaada kwa yeyote anaeifahamu hii shule ipo sehemu gani wilaya ya kinondoni.Humu jamvini tupo wengi natumai kupata msaada kwa hill.
.
.
Napenda kutanguliza shukrani zangu natumai nitapata msaada kwa hili.