mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Naomba muendelee kuwakomesha dada zetu wazuri wanaotutosa na kutaka six pack.sisi tunawapenda kwa dhati nyinyi wanawashobokea.wamegeni na muwaache kama mnavyofanya
Pole, utampata wa kwako mtakayependana na kuendana! Hao ujue hawakuwa wa kwako, ukilazimisha utaji…bure! Piga moyo konde, vuta subira huku ukimuomba Mungu akupe wa kutoka kwake!Naomba muendelee kuwakomesha dada zetu wazuri wanaotutosa na kutaka six pack.sisi tunawapenda kwa dhati nyinyi wanawashobokea.wamegeni na muwaache kama mnavyofanya
Hebu tulia kunywa maji yale wanaitaga masafi then tuambie kimekukuta nnNaomba muendelee kuwakomesha dada zetu wazuri wanaotutosa na kutaka six pack.sisi tunawapenda kwa dhati nyinyi wanawashobokea.wamegeni na muwaache kama mnavyofanya
Mkuu wewe tafuta Hela tu kwanza,Naomba muendelee kuwakomesha dada zetu wazuri wanaotutosa na kutaka six pack.sisi tunawapenda kwa dhati nyinyi wanawashobokea.wamegeni na muwaache kama mnavyofanya
Siku hizi wanasema "Wewe piga gym uwe mlinzi kina Dada siku hizi wanaangalia wallet" ukivuta wire uwe umejipanga kimkwanjaNaomba muendelee kuwakomesha dada zetu wazuri wanaotutosa na kutaka six pack.sisi tunawapenda kwa dhati nyinyi wanawashobokea.wamegeni na muwaache kama mnavyofanya
fafanua kwa kiswahili fasaha................Kitambi ndo habari ya mjini.ukitulia kaunta na heineken zako wanakuja wenyewe.hao sic pack wengi wao vibaskeli wanapandwa nao
Wengi wao wanavalishwa mataulo hao jamaa! Hatari sana
Weka stori nzima..Naomba muendelee kuwakomesha dada zetu wazuri wanaotutosa na kutaka six pack.sisi tunawapenda kwa dhati nyinyi wanawashobokea.wamegeni na muwaache kama mnavyofanya
Hujamuelewa mleta maada, hamaanishi hao vicheche wanaofuata kukuchuna afu unatoka kwa urofa wako ukiamini unapendwa! Huyu aKitambi ndo habari ya mjini.ukitulia kaunta na heineken zako wanakuja wenyewe.hao sic pack wengi wao vibaskeli wanapandwa nao
Hujamuelewa mleta maada! Hamaanishi hao vicheche wanaokuja kukuchuna afu ww unatoka hapo kama lofa ukifurahia kupendwa kumbe ni mshiko tu wanaofuata! Mie mbona hao wakujipendekeza kwa sbb ya 6p zangu huwa nawakimbia ki'Yusuph' maana ni kwa ajili yangu na mke wangu. Mleta maada, 'six pack' kila mtu anazo, acha uvivu, fanya mazoezi na wala huhitaji kwenda gym! Anza kwa kukimbia (morning &evening jogging) upunguze unene, weka nidhamu kwenye makulaji! Mengine niPM!Kitambi ndo habari ya mjini.ukitulia kaunta na heineken zako wanakuja wenyewe.hao sic pack wengi wao vibaskeli wanapandwa nao
Watakuwakilisha mzeeNaomba muendelee kuwakomesha dada zetu wazuri wanaotutosa na kutaka six pack.sisi tunawapenda kwa dhati nyinyi wanawashobokea.wamegeni na muwaache kama mnavyofanya