Mfano mdogo wako wakiume ana ukaribu sana na mkeo yaani unakuta jikoni wanapiga story mpaka wanacheka ile mbaya ila mkeo akirudi chumbani mnacheka kiasi tofauti na akiwa na mdogo wako utachukua hatua gani?
Hakunashida mbona yupo na shemeji yake hii ndo nayopitia kuna demu wa mshikaji napiga nae sana mastory sasa kama jamaa yake mume wake anaona wivu kinyama anaishi napiga kumbe wala ni story inapaswa kujiamini
Mkuu unatakaga kunigombanisha na jamaa πππππππππππππππππππππππππ
Acha tupike leo wali wa nazi ya kukuna