Mabro na swali

Mfano mdogo wako wakiume ana ukaribu sana na mkeo yaani unakuta jikoni wanapiga story mpaka wanacheka ile mbaya ila mkeo akirudi chumbani mnacheka kiasi tofauti na akiwa na mdogo wako utachukua hatua gani?
Sasa kama huna stori nae huyo mkeo , humchekeshi anachekaje!? Jiangalie mwenyewe kwanza unakwama wapi mpka mkeo anakosa vicheko ukiwa nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…