Mabosi wa kike noma!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!

zanzsco

Senior Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
161
Reaction score
45
Mm nashindwa elewa kwann boss kadies wako na wivu sana na subordinate wao hasa when you look good o unadress nicely.
imagine mpaka boss kaomba aamishwe kitengo kisa kashindwa vumilia subordinate wake anamzidi kwenye taste ya mavazi na anapendeza................... women women women problems in the offices but not all to the few only????????????
Inapaswa tujue twatoka ktk family tofauti pia kimauwezo kiuchumi!!!!!!!!!!!!!!!!!!

The clever ones are astonished with outside being but the wise ones discover the amazing things of the inner being.
 
muda mwingine ni swala la kutojiamini hila inategemea ntu na ntu
 
Mm nashindwa elewa kwann boss kadies wako na wivu sana na subordinate wao hasa when you look good o unadress nicely.
imagine mpaka boss kaomba aamishwe kitengo kisa kashindwa vumilia subordinate wake anamzidi kwenye taste ya mavazi na anapendeza................... women women women problems in the offices but not all to the few only????????????
Inapaswa tujue twatoka ktk family tofauti pia kimauwezo kiuchumi!!!!!!!!!!!!!!!!!!

The clever ones are astonished with outside being but the wise ones discover the amazing things of the inner being.

ngoja nikae kimya nisije ambiwa am bosi wa kike bure
 
Wanashindwa kujiamini. Na kwanini uangalie nani kavaa nini kwani si kila mtu anamshahara wake bwan, hayo ni mawazo mgando. Wafanye kile kilichowapeleka pale waache tabia ya kuangaliana vivazi. Kuna wanawake Mungu sijui kawaumbaje tu hata avae gunia atapendeza tu hivyo ni vizuri kubaki kwenye malengo na kuacha kusambaa kimawazo. Utaumia wee kumbe unasumbuka na uumbaji wa Mungu tu.
 
++
Mavazi ya mwanamke Kulia ni kumteka mwanaume
Kushoto ni kumchukiza mwanamke
++
 
Kwa hiyo mnahamishana vitengo kwa ajili ya mavazi?
ila seriously saa zingine wanawake wana matatizo kweli.
 
Mm nashindwa elewa kwann boss kadies wako na wivu sana na subordinate wao hasa when you look good o unadress nicely.
imagine mpaka boss kaomba aamishwe kitengo kisa kashindwa vumilia subordinate wake anamzidi kwenye taste ya mavazi na anapendeza................... women women women problems in the offices but not all to the few only????????????
Inapaswa tujue twatoka ktk family tofauti pia kimauwezo kiuchumi!!!!!!!!!!!!!!!!!!

The clever ones are astonished with outside being but the wise ones discover the amazing things of the inner being.

Mbona una mambo ya kitoto kama vijana wa jukwaa la Elimu!Kama una bosi wa aina hiyo nina mashaka na elimu zenu wote wawili!Kama kazi mliyonayo inashindwa hata kuwavika mpaka useme mnatoka family tofauti kiuchumi!Nina mashaka makubwa na ofisi yenu huwenda ikawa moja ya zile ofisi zinazonyonya wafanyakazi.
 
ila kweli ni noma
wanashindwa tu kukuuliza leo kwako umekula nini
siwapendi kama nini vile.
 
I agree inategemea ntu na ntu. Sidhani kama ni swala la mavazi, atakuwa na internal issues kama kutokujimini au anaona unamu- overshadow
 
MUYOOL hata ukiwatetea hapana bado ni tatizo
hapa yuko mmoja ana duka lake hapo kkoo so kupunguza msongamano
tunampa oda ya mahitaji yetu madogo madogo ya akina mama
ole wako uagize a dozen ya hivyo kitu
anashindwa kuvumilia na kuanza kukoroma hapo hapo

Mbona una mambo ya kitoto kama vijana wa jukwaa la Elimu!Kama una bosi wa aina hiyo nina mashaka na elimu zenu wote wawili!Kama kazi mliyonayo inashindwa hata kuwavika mpaka useme mnatoka family tofauti kiuchumi!Nina mashaka makubwa na ofisi yenu huwenda ikawa moja ya zile ofisi zinazonyonya wafanyakazi.
 
Last edited by a moderator:
haya mambo ya ntu binafsi, lakina tunaj.ua ntu mwananke walivyo...
 
wanakuonea wivu wewe vaa pendeza meremeta vaa nunua differents official ornaments nunua handags majuu badilika uvae nguo aina nyingi tofauti.
Usirudie kuvaa nguo ndani ya miezi 6 wewe uwe unavaa nguo isizidi mara 2 uwe na unagawa.
viatu uvae sio wao wanavaa nguo za mtumba.
Tena akukome kabisa na muambie akuwache wewe uvae
 
Kwa hiyo mnahamishana vitengo kwa ajili ya mavazi?
ila seriously saa zingine wanawake wana matatizo kweli.

hamna lolote! Mdada mwingine akishatupia kimtumba chake cha mwenge anajiona kapendeza hadi anahisi kama anaonewa wivu kumbe watu hata habari na yeye hawana..
Mkwe nakutafta, nna umbea mrefu hapa mpaka dar.. (usiniulize nipo wapi)
 
wanakuonea wivu wewe vaa pendeza meremeta vaa nunua differents official ornaments nunua handags majuu badilika uvae nguo aina nyingi tofauti.
Usirudie kuvaa nguo ndani ya miezi 6 wewe uwe unavaa nguo isizidi mara 2 uwe na unagawa.
viatu uvae sio wao wanavaa nguo za mtumba.
Tena akukome kabisa na muambie akuwache wewe uvae

we..,ucrudie tena kuponda mtumba dili ati
 
wanakuonea wivu wewe vaa pendeza meremeta vaa nunua differents official ornaments nunua handags majuu badilika uvae nguo aina nyingi tofauti.
Usirudie kuvaa nguo ndani ya miezi 6 wewe uwe unavaa nguo isizidi mara 2 uwe na unagawa.
viatu uvae sio wao wanavaa nguo za mtumba.
Tena akukome kabisa na muambie akuwache wewe uvae

we!...ucrudie tena kuponda mtumba dili ati.,
 
katika shida zangu za kiofisi ni bora nikutane na mwanamme kuliko mwanamke mwenzangu.
 
Mm nashindwa elewa kwann boss kadies wako na wivu sana na subordinate wao hasa when you look good o unadress nicely.
imagine mpaka boss kaomba aamishwe kitengo kisa kashindwa vumilia subordinate wake anamzidi kwenye taste ya mavazi na anapendeza................... women women women problems in the offices but not all to the few only????????????
Inapaswa tujue twatoka ktk family tofauti pia kimauwezo kiuchumi!!!!!!!!!!!!!!!!!!

The clever ones are astonished with outside being but the wise ones discover the amazing things of the inner being.

Si mabosi wa kike tu, hata wa kiume. Binafsi ilibidi nifatute kazi mahala pengine kutokana na haya haya mambo.
In short clients walikuwa wakifika ofisini, mimi ndo wananiita meneja kutokana na apperance.
Ilikuwa ikimuuma sana, visa kila siku, ukienda field sahau kabisa per diem. Yakanishinda!!!!!!!!!!!!
 
Tatizo kubwa ni kwamba Wanawake kwa kawaida popote watakapokuwa pamoja huwa hawana utamaduni wa kuvumiliana Na sasa pale inapokuja kwenye maeneo ya kazi kama vile ma wizarani humo au idara za serikali basi yaani ndio inakuwa worse and 'they can't keep it professional'.

Ma boss wengi Wanawake hujisahau na kushindwa kujitofautisha baina ya U-Mwanamke na U boss. Kwa maneno mengine hujisahau na kuongozwa na hisia zao kwa kujiruhusu kuwa 'mwanamke kwanza' badala ya kuwa 'boss kwanza'.
 
Back
Top Bottom