Mabosi wa kike noma!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!

Moja kati ya mawili, huyo boss mjinga....lazima ajue she has the brain thats why ni boss na sio kaja modeling. Hizo ni kazi wa vibinti ambao wana less responsibilities na wana malengo tofauti.

Au huyo dada mzushi tu hana performance kapewa uhamisho sasa anampakazia mama wa watu.

Aisee kuna wadada nawasifu wanachange makeup not less than 2 times ofisini eti refresh, kwakweli kama uko full occupied hutokuwa na muda mchafu huo.
 
Tatizo kubwa ni kwamba Wanawake kwa kawaida popote watakapokuwa pamoja huwa hawana utamaduni wa kuvumiliana Na sasa pale inapokuja kwenye maeneo ya kazi kama vile ma wizarani humo au idara za serikali basi yaani ndio inakuwa worse and 'they can't keep it professional'.

Ma boss wengi Wanawake hujisahau na kushindwa kujitofautisha baina ya U-Mwanamke na U boss. Kwa maneno mengine hujisahau na kuongozwa na hisia zao kwa kujiruhusu kuwa 'mwanamke kwanza' badala ya kuwa 'boss kwanza'.

umenikumbusha wakati niko secondary kuna head mistress wetu, tena alikuwa ni mke wa wazir flan hiv wa noti henzi hizo...... Aisee tulikuwa tunapata shida na huyu mama,,,,, akikuona una nywele ndefu tena zile singasinga utaambiwa kesho ukanyoe,,,, akikuona mwenyewe umevaa skirt imekukaa na unakijishepu ata kama sio fupi utaambiwa kesho uje na skirt inayofika kwenye kisigino na iwe pana kama mnavaa wawili vile...... Tulikuwa tunatabia ya kupaka poda, kuchana nyusi na kuzing'arishia vimafuta na kupaka lipshine kwenye lips,,,, mbona tulikuwa tunakipatapata akituona.

Ki ujumla alikuwa hataki tu shine watoto wakike,,, wakati tulikuwa tunasoma girls tupu na tulikuwa tunafuata sheria za shule kama kawaida..
Then yeye mwenyewe alikuwa yuko rafurafu vinywele vya kuhesabu, mavaz anayovaa mmmh utafikiri sio MKUBWA bwana na ndio maana uvumilivu ulimshinda lol!
 
Hapo kwenye Red nakuunga mkono 200%, yaani wao wana mishahara na marupu rupu kibao lakini bado anakutolea jicho wewe unayevaa mtumba na kuupangilia vizuri. kiasi hata zile haki zako anaziwekea kauzibe. Ila kwa kweli wanawake tubadilike.
 
Lol mkwe. Kama mie boss wangu haniambiagi kama nimependeza basi nammind! Kuna gauni la laki 3 alitununulia Boflo, sare sare na snowhite. Yaani kijungu na cleavage nje nje. Na huyu mmama hanisifii. Namnuniaje?

Huo umbea shurti chai ya iliki ishushie na vitumbua vya moto. Ntakusaka mkwe usikonde.
hamna lolote! Mdada mwingine akishatupia kimtumba chake cha mwenge anajiona kapendeza hadi anahisi kama anaonewa wivu kumbe watu hata habari na yeye hawana..
Mkwe nakutafta, nna umbea mrefu hapa mpaka dar.. (usiniulize nipo wapi)
 
Last edited by a moderator:
umenikumbusha wakati niko secondary kuna head mistress wetu, tena alikuwa ni mke wa wazir flan hiv wa noti henzi hizo...... Aisee tulikuwa tunapata shida na huyu mama,,,,, akikuona una nywele ndefu tena zile singasinga utaambiwa kesho ukanyoe,,,, akikuona mwenyewe umevaa skirt imekukaa na unakijishepu ata kama sio fupi utaambiwa kesho uje na skirt inayofika kwenye kisigino na iwe pana kama mnavaa wawili vile...... Tulikuwa tunatabia ya kupaka poda, kuchana nyusi na kuzing'arishia vimafuta na kupaka lipshine kwenye lips,,,, mbona tulikuwa tunakipatapata akituona.

Ki ujumla alikuwa hataki tu shine watoto wakike,,, wakati tulikuwa tunasoma girls tupu na tulikuwa tunafuata sheria za shule kama kawaida..
Then yeye mwenyewe alikuwa yuko rafurafu vinywele vya kuhesabu, mavaz anayovaa mmmh utafikiri sio MKUBWA bwana na ndio maana uvumilivu ulimshinda lol!
Mhhhhhhh!!! nahisi kama Ulizoma ZANAKI SEC, kama ni hapo basi ni kweli usemayo kabisaaaaaaaa, tena akawa anadai mwanae akipata ziro atamkatia katia mbwa, mwanae alikuwa anasoma Jangwani, Mungu siyo juma mwanae akapata Zirooo akamkimbizia Marekani.
 
haswaaa....!! Alikuwa ana mashauzi ile mbaya... Mwishoe yalimtokea puani
 
eheheehhehhe mumuache mama mbunge wetu!siku hizi anapiga pamba huyooooooooo!
ehhehehhe naona nyie ndo mlimtia wazimu!
 
wanakuonea wivu wewe vaa pendeza meremeta vaa nunua differents official ornaments nunua handags majuu badilika uvae nguo aina nyingi tofauti.
Usirudie kuvaa nguo ndani ya miezi 6 wewe uwe unavaa nguo isizidi mara 2 uwe na unagawa.
viatu uvae sio wao wanavaa nguo za mtumba.
Tena akukome kabisa na muambie akuwache wewe uvae
ka hayo uliomtajia mkopeshe mume wamtu mmja basi .
 
eheheehhehhe mumuache mama mbunge wetu!siku hizi anapiga pamba huyooooooooo!
ehhehehhe naona nyie ndo mlimtia wazimu!
Makubwaaaaaaaa!! kawa mbunge???? sijasikia, lakini mashauzi yatakuwa yamepungua sana, maana alikuwa ananyanyasa hadi walimu wenzie, wakichelewa anawaambia "utapandaje dala dala?!!! mwambie mumeo akununulie gari"halafu anamshusha na kumpandisha, yeye alikuwa anapatana na walimu ambao wanauwezo tu , ukiwa kajamba nani hana mpango na wewe,na ukiangalia wakati ule kuwa na gari wewe unaonekana bonge la tajiriiiiiii.
 
mumewe si alikuwa mbunge wa kule nanihiiiiiiii!
walimpora lakini jimbo lenyewe!namuona kweny maharusi tu siku hizi!
 
Hahahahahahaaaaaa!!!! ni kweli kabisaaaaaaaaa!!! wala hujakosea, ila wenzetu walijua kuzitumia, sisi tulikuwa tunang'aa ng'aa machot u, ikipewa hela nyingi siku hiyo basi ni sh 60. sh 50 kwenda, sh 50 kurudi, sh 40 matumizi. wakati wenzetu walikuwa wanaagiza chips mayai pamoja na soda, anakunywa nusu inayobaki nanawia mikono eti anaondoa mafuta ya chips, basi unabaki unatoa maccho unatamani ile soda, ila kuomba huwezi. loh! nikikumbuka maisha ya shule acha tu. ila namshukuru mungu sasa hivi nina changu.
 
Mambo hayo maofisini ni mengi sana. Ukiwa na roho nyepesi unaweza kuacha kazi maana manyanyaso ni mengi sana.
 
If women rules all over there will be no more wars only bunch of countries not talking to each other
 
Mabosi wa kike wengi wao ni noma.

Ila nilipoanza kazi nilipata bahati ya kuwa chini ya bosi wa kike ambae tulifanya kazi fresh kabisa bila kuzinguana na alinipenda sana . Sema sijui kwakuwa nilikuwa jembe 🙂
 
Back
Top Bottom