Mabosi wa kibongo ndivyo wanavyoajiri wanawake hivi.....

Mabosi wa kibongo ndivyo wanavyoajiri wanawake hivi.....

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
10649671_858782814140737_5373898503340594773_n.jpg
 
Huu kweli unyanyasaji....bora ufe maskini kuliko kukubali upuuzi huu
 
Hivi hili swala limefikia wapi?
Au serikali hiii imekaa kimya tui hadi pale makubwa yakitokea ndio itazima moto?
Kama serikali ilitoa tamko, inakuaje hawakulitekeleza?

Tatizo watu siku hizi wanapenda slop, yaaani miteremkooo.
Kwa njia hiii wadada wengi watatumika na maboss wenngi wata watumia
 
Yaani hapo utakuta dada mwenyewe hana sifa stahiki, pia mpo wengi hamna ajira hapa mitaani, sasa ni chaguo lako hakuna atakayekubaka..
Toa upate ajira ama usitoe uendelee kusugua benchi, kibaya ni kwamba hata akipata hiyo ajira bila kutoa ngono, mara nyingi baadae ataanza kumtega bosi wake ili ampe uroda na aweze kufaidi matumizi na bosi au apandishwe cheo!

Lawama za bure hizi hakuna mtoto hapo!!
 
Huu kweli unyanyasaji....bora ufe maskini kuliko kukubali upuuzi huu

ww ndio unayatambua hayo lakn kuna wenzako wakiambiwa hvyo ndio wanaanza kuwashwa kabisa..... Ukiangalia vyeti vyenyew felia zmejaa
 
hahahaaaa! Hapo tu!!
Ndio pananifanya nichukie kuoa mwanamke mwenye degree.
Wanajifanya wapo busy na kazi maofisi kumbe wanagegedana na mabosi pumbaaaaaaf....

Wenye certificate hawaendi kazini? Huna lolote unataka kumuonea tu form four failure wa watu
 
KWA HERUFI KUBWA...KWELI KABISA WENGINE NDIVYO WALIVYO...YAANI NI SHEEDER





OTE=MziziMkavu;10558447]
10649671_858782814140737_5373898503340594773_n.jpg
[/QUOTE]
 
Wenye certificate hawaendi kazini? Huna lolote unataka kumuonea tu form four failure wa watu

form four failure namuonea kiaje?
Wenzio tumeshaona watu wakipeana kaz gest na wakipandishana vyeo gest.
 
inabid ckumoja boss aliwe ti....go itakuwa fundisho kwa maboss wengine
 
Back
Top Bottom