Maboresho ya JF - 2019

HILO TATIZO LITAKUWA LIPO BAADHI YA WATU. ILA KWANGU HAKUNA HILO TATIZO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa niaba ya mkuu wa idara ya JF- IT napenda kukupa taarifa wewe na wengine kuwa hiyo emoji 👏 na zile nyingine nne tumeziweka kwa majaribio.

Asante.
 
Kwa niaba ya mkuu wa idara ya JF- IT napenda kukupa taarifa wewe na wengine kuwa hiyo emoji 👏 na zile nyingine nne tumeziweka kwa majaribio.

Asante.
Mmeziweka kwa ajili ya majaribio ya nini?
NONSENSE!
 
Mbona kitu kidogo kama hiki tunalalamika sana?au tumeshakuwa walalamikaji kwenye soft issues?sasa kuna tofauti gani kati ya like tuliyoizoea na thanks ya emoji? zote zinaleta maana moja.
 

Tumia app, unaona started threads vs replies.
 

Maxence Melo, JamiiForums, Moderator, Active, Fang et al.

Tatizo la kutoona similar threads limejirudia.
 

Mkuu maombi yako yalifanyiwa kazi?
 
Sio tatizo, imekuwa disabled ikifanyiwa maboresho
Fanyieni marekebisho mrudishe like, maana sidhani kama thanks ina maana sawa na like. Basi ktk hizo options kuwepo na like pia.

Alafu kwenye app notification ya mention bado ina shida.
 
Thanks, nimeona toka jana nikasema leo nikukumbushe.

Something else on that, naona inapick most recent threads pekee yake, na zingine unakuta siyo related kiviile.

Nadhani kwenye uboreshaji mnaweza kuongeza kitu juu ya hilo.
Point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…