Mimi katika kitu ambacho ningependa kukiona kimerudi ni ile inayoonyesha "Malcom Lumumba visited your profile" Yaani mtu uje kutembelea Profile yangu halafu mhusika nisijue kweli ??
Ni sawa na mtu kuingia nyumbani kwangu bila ruhusa halafu ukaondoka hivihivi tu. Haiwezekani kabisaaa
Hata mimi nilitoa malalamiko yangu kwa JF lakini presentation yake haikuwa ya kiungwana.Naona hili umelivalia njuga as if ni mod, anyway anacholalamikia sio tatizo kwake tu na kwangu pia ni tatizo na si kwangu tu kuna wengine pia, haswa kwa Jf app. Hivyo badala ya kumsimanga acha asikilizwe na kama itawafaa walifanyiw kazi.
Mteja kutoa malalamiko yake kwa mtoa huduma kwa huduma anayopata ni haki yake. Hakuna jf bila jf users, hivyo acha kila mtu atoe malalamiko yake then wao ndio watachuja yepi wafanyie kazi.
NdiyoApp yako iko updated?
Yeeees nilitaka wakuanzisha hili discipline ni jambo muhimu kuna vi Serengeti boyz vinaleta nyuzi za ajabu.eti demu wangu kaniacha nifanyaje? Mara matusi makubwa apo naona T&C visipofatwa jf itakuja kuwa FbHapo nashukuru maana wengine bila JF ni sawa na kuwa kwenye msiba. Siwezi ishi bila hii kitu. By the way badala ya ignore unaonaje mkaweka block? Mkiblock watu hapa itapendeza. Wengine vikongwe tunatukanwa na vijukuu bila sababu.
Teh! Hutaki lirudi hili ??? Basi mimi nalikubali sana!
My kaka ktk hilo ushindwe
Usihofu, update itakayofanyika itamaliza kero hiiNdiyo
nime-update week moja iliyopita lakini hakuna mabadiliko.
Sawa,,,, naendelea kusubiri.Usihofu, update itakayofanyika itamaliza kero hii
Sawa mkuu.Hata mimi nilitoa malalamiko yangu kwa JF lakini presentation yake haikuwa ya kiungwana.
Ili nikikupekua usijue.Teh! Hutaki lirudi hili ??? Basi mimi nalikubali sana!
Sasa nadhani ni muda muafaka wa Stalkers wote kufahamika.Ili nikikupekua usijue.
Usitufanyie hivyo bwana.Sasa nadhani ni muda muafaka wa Stalkers wote kufahamika.
Je kuna haja ya ku reinstall app? I mean JF app?Ngumu kuona mabadiliko katika servers. Labda pale utapoona website iko na speed nzuri na imara zaidi.
Ya mwonekano utayaelewa tu, tupe muda mchache
Nadhani kwa mtu kukosa tu LIKE tayari inamaanisha kuwa alichochangia hakina manufaa kwa jamii.... Vilevile nimeupenda msimamo huo wa kuwa na kitufe cha dislike kwakuwa ni kama vile forum imekwepa mazoea ya kuwa na kitu kinachofanana na wengineKitufe cha ku dislike mchango was mtu bado ni muhimu sana tena sana napingana na wote kuwa kinashusha morali ya mtoa mada au mchangiaji hii sio sahihi kabisa.
Ifahamike kuwa mtu humu anatakiwa kuthaminiwa kwa mchango wake wenye manufaa kwa wana jamvi na sio kwa pumba zake anazokoment hivyo vice versa should be true"Km watu wana LIKE point yako" basi pia wapewe ujuru wa "KU DISLIKE pumba zako" na hiyo italeta tija kwa watu kuchangia POSITIVELY.
HAYO YA KUWA WATU WATAJIFHURU,KUVUNJIKA MOYO NA MENGINEYO YA KINEGATIVE nadhani sio kweli tena SIO KWELI KABISA mbona bado kuna watu wanakomenti PUMBA tena zenye kukera ktk hizohizo thread za maana lakini hatujasikia mtu aliyejidhuru kwa kujibiwa pumba????
Maxence Melo please DISLIKE BUTTON IWEPO CHIEF itasaidia watu kufikirisha vichwa zaidi badala ya kufikirisha Matumbo na Makalio(I'm sorry)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ndugu yanguJe kuna haja ya ku reinstall app? I mean JF app?
Jr