Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,662
Mkuu ili lina ukweli ndani?
Mbona mimi napata notifications kwa new threads na post kwenye majukwaa mengi, mtu akikoti au akilike lazima nipate notifications na ni ki klick nakuwa directed kwenye hiyo QUOTE au like. Pengine sijakuelewa mantiki yako
I stand to be corrected
Hongera mkuu unamiliki kampuniNinamiliki 79% za hisa ya JamiiForums
Akikujibu unitag isiwe jamaa anatupa breakfastBasi ina maana ulipaswa kuwa mmoja wa waboreshaji siyo kuja humu kulalamika. Sisi tusio na hisa tunaomba ila hatutumii nguvu. Nina wasi wasi na hizo hisa zako, ngoja nimuuliza Melo.
Jamiiforums.com Allow To Send You NotificationSimilar threads na kuandika namba ya page
Naenda lunch kwanza.Akikujibu unitag isiwe jamaa anatupa breakfast
Ndio shida ya vijana (easy to buy like goods)Huyu ana lake au katumwa na wasiojulikana. Atafute forum itakayomridhisha. JF forever.
Sawa mkuu ila take away usisahau..Naenda lunch kwanza.
Hata kwangu mimi sijawahi pata tatizo la notificationsMkuu ili lina ukweli ndani?
Mbona mimi napata notifications kwa new threads na post kwenye majukwaa mengi, mtu akikoti au akilike lazima nipate notifications na ni ki klick nakuwa directed kwenye hiyo QUOTE au like. Pengine sijakuelewa mantiki yako
I stand to be corrected
Pilipili????Sawa mkuu ila take away usisahau..
acha kutumia mpaka unayotaka yakiwekwa!..Halafu baada ya matengenezo itaanza tena kuwa mbovu
Pilipili mkuu🤔🤔nimekuwa mtoto wa kihindiPilipili????
App yako iko updated?Mkuu Maxence Melo Mimi sipati notifications kabisa karibia week tatu sasa.
Ndo ujue shida ilipo sasa.Pilipili mkuu🤔🤔nimekuwa mtoto wa kihindi
Hiyo ni shida kwa kweli...Ndo ujue shida ilipo sasa.
Hii app naona kama inawashinda sijui, huwa ina mapungufu mengi sana. Hilo suala la notifications kwa upande wa app lishalalamikiwa kwa muda sana sasa na wameshindwa kulifanyia kazi.Kama lipi? Notifications tu wameshindwa
Naona hili umelivalia njuga as if ni mod, anyway anacholalamikia sio tatizo kwake tu na kwangu pia ni tatizo na si kwangu tu kuna wengine pia, haswa kwa Jf app. Hivyo badala ya kumsimanga acha asikilizwe na kama itawafaa walifanyiw kazi.Huyu ana lake au katumwa na wasiojulikana. Atafute forum itakayomridhisha. JF forever.