Umenena vyema mkuu ! Ndo mana kuna uzito tofauti tofauti katika ndondi, kuna uzito wa unyoya (feather weight), uzito mwepesi (light weight), bantam weight, mpaka heavy weight...sasa mtu wa uzito wa unyoya hawezi akawa na mwili kama Kaseba..it's not rocket scienceHapa sijawaelewa mnatakeje. Huo uzito wanaopigania si ndio miili yao? Au mnataka wawe na miili ya kilo 90? Shaurini vyama vya ndondi viondoe uzito mwingine wabakishe uzito wa juu pekee hapo ndio mtapata wenye miili mikubwa.
Sio njaa wala utapiamlo, ni ukapa!Nimesikitika sana mabondia wetu wanashindwa hata kupata milo ya maana kujenga miili yao.
Kulia ni bondia Festus Omondi kutoka nchini Uganda atakaye pambana na hasimu wake Mbwana Matumla (kulia) katika raudi 12,uzito wa Bantam Weight.Mbwana Matumla ana uzito wa Kg 53 na Festus Omondi ana Kg 51
Bondia Festu Omondi kutoka Uganda akipima uzito leo mchana ndani ya ukumbi wa Idara ya habari Maelezo
Hapa sijawaelewa mnatakeje. Huo uzito wanaopigania si ndio miili yao? Au mnataka wawe na miili ya kilo 90? Shaurini vyama vya ndondi viondoe uzito mwingine wabakishe uzito wa juu pekee hapo ndio mtapata wenye miili mikubwa.
kha aisee yani wewe utakua mtu wa ajabu sana kama hulioni tatizo hapo....hebu jaribu kuangalia tena hizo pics....hatuzungumzii ukubwa wa miili tunazungumzia ''''AFYA BORA''''....we wazani kunenepesha matumbo kwa wabongo ndo sign ya afya bora kama wanavyojidanganya waliowengi... it means huoni kabisa hizo physical appearance zinakushow sign gani wewe kama Great thinker??????
.....so unataka nambia wakilinganishwa na mabondia wengine wa uzito sawa toka sehemu zenye akili duniani ..... watafanana appearance yao??????
......u must be jokin' hommie....
hivi matokeo yako vipi??????
cheka kadundwa????????