Mabomu yarindima Karatu kisa Rose Mhando

Mabomu yarindima Karatu kisa Rose Mhando

kwaani kwenye dini lazima ulipie show kumuona mtu.
 
Rose Mhando ni mtumishi wa Mungu. Hawezi kuingia mitini bila sababu. Vuteni subira atakuja siku nyingine
 
Inatia uchungu sana pale wachungaji,askofu na wainjilisti wanapo dhalilishwa na kutukanwa na kuzomewa na watu wengi.eti kisa tuu Rose mhando kaingia mitini,na pay slip zinaonyesha kaingiziwa milioni tatu kwenye akaunti yake tayari.
Sijui mwisho wake Rose utakuwaje,hata mimi mwenyewe nimeumia sana na kuanzia leo sitanunua wala kusikiliza kazi zake.

sasa tutamtofautisha je na waimbaji wa nyimbo za dunia? Kwanza bora wao huwa wanaudhuria baada ya kula chao
 
Neno la mungu Halilipiwi. Hakuna show ya neno la mungu.

Wajinga ndio waliwao.
 
Waandaaji ndiyo matapeli. Mwanamuziki maarufu kama Rose hawezi kukosa kuwa na ratiba inayomuongoza. Ni mara ngapi tumeona hata mkuu wa nchi Dr JK alisha bambikiwa atakuwepo kwenye aidha uzinduzi au fund raising harafu yeye hata hajaconfirm halafu wahusika walishaanza kufanya matangazo. Kwa hilo wachangiaji kuweni makini na michango yenu.
 
Rose mhando wa kipindi kile sio wa sasa, ukijua mambo yake ya ndani utachoka. ki ukweli sikilizeni nyimbo zake mengine mwachieni Mungu. kuna albamu yake mpya iko njiani kuna wimbo unaitwa KUNG' UTA. hili la kutokufika kwenye tamasha wala sishangai.kuimba nyimbo za injili ni tofauti na kuishi kama biblia inavyotaka, leo hii hata dimond plutnum anaweza akaimba nyimbo ya gospel kali na akabamba mbaya,ila kuishi hayo maisha ya Kiimani/ kiroho ni tofauti na uimbaji. kuna mmoja mwimbaji mmoja wa gospel maarufu anakaa tabata ni mchapa bia mzuri tu. na kuna mmoja wa kiume anakula kijiti cha bob,na hawezi ingia studio au stajini bila kijiti. msishangae ila ndio hali halisi ktk tasnia ya wasanii wa nyimbo za injili,ushaambiwa wasaanii,kama wa bongo fleva wanavyokula ngada.
shetani jana na leo hajafa bado yupi kazini
 
Hivi kwanin mtu uhaidi af usitekeleze jamani?
Inaboa kama kweli,otherwise labda jina lake liwe limetumiwa bure ... Ili wapate hela.
Vinginevyo anajiondolea uamibifu
 
Rose Mhando ni mtumishi wa Mungu. Hawezi kuingia mitini bila sababu. Vuteni subira atakuja siku nyingine

Siku gani mkuu atakuja ? Au siku Yesu christo akishuka mbinguni? Amekula hela zetu........
 
Back
Top Bottom