Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 411
Hivi sasa polisi wanalipua mabomu ya machozi kutawanya raia walio kuwa kwenye uwanja wa mazingira bora karatu ambao walitoa pesa zao kumtazama Rose Muhando.
Rose amesababisha vurugu kwa sababu alikuwa aje kwenye show alafu hakuja na watu walikuwa wametoa pesa zao na uwanja ulikuwa umefurika sana watu.
Kulikuwepo na wachungaji maaskofu wa TAG na watu wengine wengi fans wa Rose Mhando,lakini mpaka saa kumi na mbili Rose alipopigiwa simu alikuwa hapokei tena.
Na wiki moja nzima mji wa Karatu ulijaa matangazo ya Rose Mhando.
Rose kama ni kweli ulishalipwa pesa za show alafu hukuja sijui damu iliyomwagika utalipaje.
Watu wanadai warudishiwe hela zao na kudai wametapeliwa na mwinjilisti.