Mabomu yapigwa maeneo ya DIT

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,689
12,988
Nipo maeneo ya DIT nasikia mabomu yanapigwa macho na pua zinawasha,sijui wapi kimenuka!

===========
Sio mabomu ni risasi imefyatuliwa na askari waliokuwa wameambatana na mgambo wakikamata wamachinga.
Tukio limetokea hapa Sophia apartments karibu na peacock hotel Barbara ya Bibi titi.

Huyu machinga alimva askari na kutaka kumshika shati na ndipo alipofyatua risasi 2 na chinga huyo kukimbilia kwenye jengo la Guled Investment linalojengwa kwenye kona ya morogoro road na bibi titi.

Nimemkuta huyo kijana hapo getini akikimbilia ndani nami nikiwa natoka nje kitendo kilichonitia hofu nami kukimbia kurudi. Nilisahau hata valuation ya jengo hilo nililikuwa nalifanyia.

Hali imetulia na shughuli zinaendelea km kawaida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom