Mabomu yanarushwa angani Tegeta/Mbweni-Dar es Salaam

Mabomu yanarushwa angani Tegeta/Mbweni-Dar es Salaam

Sherehe ya LOWASA inamalizikia Dar es salaam usifiwe na wasiwasi,tupe kura yako uwe kwenye safari ya RICHMOND
 
Mkuu hata mimi nimeshtuka sana na nipo mbali na mbezi beach ila mlio ulisikika karibu sana. Vipi ilitangazwa kwenye vyombo vya habari kutakuwa na fataki zitapigwa?
 
Mkuu hata mimi nimeshtuka sana na nipo mbali na mbezi beach ila mlio ulisikika karibu sana. Vipi ilitangazwa kwenye vyombo vya habari kutakuwa na fataki zitapigwa?

Acheni uoga mmeshakuwa watu wazima sasa ,sawa eeeh sasa mkalale
 
Jamani milio ya milipuko ilikuwepo na imedumu takribani dk tano hvi.......mim nipo africana mbezi beach..ilikuwa inasikika sana
 
...kama yanarushwwa angani achananayo hayana madhara yoyote...
 
Back
Top Bottom