Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,715
- 11,324
Mbwa yupo ndani au nje? Kama nje umemsikiaje wakati anabwekaMbezi beach taa zimezima kwa dk. 10 halafu zikawaka. Nyumba yangu siwezi sikia ya nje ila mhu. Huku kwetu nilikuwa namsikiliza Rais wetu akitoa historia ya uhuru wetu na wahusika wakuu ndipo giza likatanda. nilihisi swali langu lilivunja mubashara.
Mabomu sijayasikia sababu kwangu ni insulated ila mbwa alibweka 2 times.