Labda chanika, kivule na swekeni kwengine.. ila hapa city center ni shangweHivi kuna ambaye kalala dsm hii?yaani tumeamshwa na hayo mangurumo ya mabomu.....
Imetangazwa tangu jana.Wawe wanatoa taarifa kabla, mimi nilikuwa katikati ya game na shemeji/wifi yenu wakaanza kupiga mabomu yao, mzuka wote kwisha.
Pole, taarifa mbona ilitolewa mkuu, mara moja moja angalia habari tafadhali[emoji16]Wawe wanatoa taarifa kabla, mimi nilikuwa katikati ya game na shemeji/wifi yenu wakaanza kupiga mabomu yao, mzuka wote kwisha.
Aisee acha nirudi nilidhani ni mabomu ya Mbagala hapa naitafuta Kibaha Kongowe.Hivi kuna ambaye kalala dsm hii?yaani tumeamshwa na hayo mangurumo ya mabomu.....
Pole sanaaaaaaa bila,Shaka Ni Mara yako ya Kwanza kuona naruti namna ile.Hivi kuna ambaye kalala dsm hii?yaani tumeamshwa na hayo mangurumo ya mabomu.....
Sijui inatokea wapi hiiHapa Ubungo muungurumo ulikuwa mkubwa sana....