Yuko wapi yule mbunge wa CCM jimbo la DONGE?. Yeye alisema kwamba akiandamana hata BABA yake kwenye maandamano yasiyo na kibali cha Polisi atampiga risasa in a cold blood.
Kwanini POLISI hawakumtafuta huyo mbunge wa DONGE wakampatia bunduki na risasi za kutosha ili awaonyeshe UAMUSHO kilicho munyoa kanga manyoya.
POLISI please mpeni silaha mbunge wa DONGE atukomeshee hao UAMUSHO.