Mabomu yaendelea Kurindima Zanzibar!

Mabomu yaendelea Kurindima Zanzibar!

Laaana ya kuchoma makanisa ni mbaya sana! Sasa serikali imeamua kufungua maghala ya silaha kuwaangamiza magaidi wa uamsho wachoma makanisa.

Wanaleta unafiki wa kusali wakati wao ndio chanzo cha laana hiyo.

Sasa yule anayejitamba kukoswa na risasi kazi anayo!
 
kwani we mbara nawe si mzanzibari

Mimi nina asili ya Mtwara babu yangu alioa Mtwara.nina imani kuwa Zanzibar Mtwara Tanga DSM Pwani ni waZanzibari ,wazungu tu ndio waliotuzidi akili na kutugawa ,hivyo udugu wa damu ,ila ndio maisha isiwe nipo huku nikadharau waliopo kule
 
Laaana ya kuchoma makanisa ni mbaya sana! Sasa serikali imeamua kufungua maghala ya silaha kuwaangamiza magaidi wa uamsho wachoma makanisa.

Wanaleta unafiki wa kusali wakati wao ndio chanzo cha laana hiyo.

Sasa yule anayejitamba kukoswa na risasi kazi anayo!

Sina hakika kama umetumia vyema mdomo wako kwa hili kwa kweli.
 
Hivi tunaing'ang'ania Zanzibar kwa kipi hasa ambacho tunafaidi kutoka kwao. Kwani Tanganyika hatutaweza kuiendesha nchi yetu bila wao. Kuwashikilia kinyume cha matakwa yao ni udikteta na ukiukwaji wa haki za binadamu. Wapewe uhuru wao ili tubaki kama nchi majirani.
 
Bila shaka watasema vurugu hizo zinasababishwa na CHADEMA!!!
 
Laaana ya kuchoma makanisa ni mbaya sana! Sasa serikali imeamua kufungua maghala ya silaha kuwaangamiza magaidi wa uamsho wachoma makanisa.

Wanaleta unafiki wa kusali wakati wao ndio chanzo cha laana hiyo.

Sasa yule anayejitamba kukoswa na risasi kazi anayo!

Inaonesha kuchomwa makanisa imekuuma hebu ichunguze hiyo dini yako kama ni ya haki mwenyewe unijuwa kama ni yakubuni upo huko kwa maslahi zaidi hebu hayo majanga yanayotokezea huko kwenu bara mmechoma makanisa naona yapo mengi tu kuanzia gongo la mboto mpaka migomo ya mdaktari ucjifanye una uchungu na makanisa wakati yale ni mabanda ya masanamu tu hayana umuhimu wowote kuwepo zaidi ya kudanganyana tu. 'ALWAH AKBAR'
 
Liwalo na Liwe, bora Serikali moja Tanzania yote manake naona uamsho wanawashwa na midadi inawapanda
 
Yaraaabiiiii toobaaaaa, ukatae Muungano!
 
Sikumbuki kama ni lini hekima, uaminifu na uadilifu watarudi tena hapa Tanzania. Waliondoka na kwenda ughaibuni miaka mingi ilopita ila naamini kuwa kuanzia mwakani tutawaona tena. Serikali imeshindwa kuwalinda mpaka wakaondoka. Shime tuwadai hawa kwanza na ndiposa tuanze kuidai Zanzibar huru. Naamini itawezekana kuwa nayo ila pasipo hao wasafiri watatu basi nayo itarudi kule kule. Mungu ibariki Tanzania.
 
Uamusho ni sawa na Al Qaeda, wanapaswa kuteketezwa kabisa.
Inabidi ufikirie mara mbili unapowataja Al Qaeda kuteketezwa. hasa ukizingatia Al Qaeda uwepo wake uliratibiwa na nani.

Kumbuka Al-Qaeda wamewezeshwa kuiangusha serikali ya Waafrika wa Libya iliyokuwa inaongozwa na mfumo thabiti wa 'Jamahiriya' huku kiongozi akiwa comred Khaddafy. Pia Al Qaeda wanahusika moja kwa moja na purukushani za Syria.

Kwa taarifa yako mfadhili mkuu wa AlQaeda ni moja wa wale "tuliobahatika!" kuwatembelea mara nyingi na bakuli la kutiliwa mchuzi.
 
Hawadi Uhuru bali wanachokidai ni kuondoa dhulma za kudumazwa na mipango sikivu ya CCM ,mipango isiyo na tija ya maendeleo si kwa Mzanzibari hata Mtanganyika ,UCCM ulioota mizizi na mashina ndio unaotukandamiza ,watu wanakufa kila leo ,syria watu wanakufa kwa mamia kudai kumuondosha dikteta na chama chake.Huu si wakati wa kuiachia Zanzibar bali hata huko Tanganyika mnatakiwa muamke.

Kama huko uarabuni kulitokea Spring naona East Afrika kunahitaji summer,kuwaondoa vikaragozi wezi mafisadi watesaji ili tupate kusonga mbele.

Well said MWIBA.

Nimekuwa nikisema sikuzote tatizo la zanzibar sio MUUNGANO ila ni CCM.
wameikataa CCM kwa zaidi ya mara 3 sasa lakini TANZANIA chini ya CCM imekuwa ikuwalazimisha kuendelea kutawaliwa na CCM sasa wameamua basi LIWALO NA LIWE hawaitaki TANZANIA NA MUUNGANO WAKE, na ukweli ni kwamba Muungano ukiondoka na CCM byee byee!
 
Ni haki yao kudai uhuru maana walifanya Mapinduzi 2, ila waache kuchoma makanisa na hicho kikundi cha kigaidi UAMSHO wakifute kabisa, hio ni mbegu ya chuki ikiota itazaa mbegu na kusambaa kote, vijana wanakaa bure ni wepesi kujiingiza kwenye makundi ya kigaidi kama haya y a UAMSHO
 
Vipi wana andamana kuelekea Ikuru ya Zanzibar? Mapinduzi ya kule Mali yalianza hivi hivi,

Wasije wakamchezeshea makofi Dr. Shein! Alivyo mpole, watazivuta hizo sharubu!!
 
Hali ni tete sana. Muungano huu ukivunjika hali ya usalama na amani ndani ya z'bar yenyewe na hata tanganyika vitakuwa kwenye hali tete ndani ya miaka kumi ya kwanza.
 
Inabidi ufikirie mara mbili unapowataja Al Qaeda kuteketezwa. hasa ukizingatia Al Qaeda uwepo wake uliratibiwa na nani.

Kumbuka Al-Qaeda wamewezeshwa kuiangusha serikali ya Waafrika wa Libya iliyokuwa inaongozwa na mfumo thabiti wa 'Jamahiriya' huku kiongozi akiwa comred Khaddafy. Pia Al Qaeda wanahusika moja kwa moja na purukushani za Syria.

Kwa taarifa yako mfadhili mkuu wa AlQaeda ni moja wa wale "tuliobahatika!" kuwatembelea mara nyingi na bakuli la kutiliwa mchuzi.
unamatatizo wewe umewahi kusikia al qaeda anaitwa John,au Eliya.nyie muwe wakweli wenyewe tu hampendani,ni wanafiki wakubwa,angalia syria mnavyouana nenda baherain nenda misri hata nguruwe huwa wanapendana,na sasa mmeanza zanzibar,baadaye tukiwaacha utasikia mwarabu na mweusi zanzibar wanapambana kesho utasingia mshia na msuni wanapambana,acheni ushetani huo ndio maana mainchi ya kiarabu yote hamna demokrasia ya kweli zaidi ya ushetani.
 
Back
Top Bottom