Mabomu yaendelea kurindima Wilayani Songea"

Mkuu wa Mkoa Bw Mwambungu alipata kuwa meneja wa bendi ya Vijana Jazz......kumpa ukuu wa mkoa ni dhihaka kubwa wakati wako wengi wenye uwezo wa kuwa ma RC.....Hapa yuko kushoto kwa mwenye shati jeupe......juu ya hayo madole gumba

vjn+ogopa+tapeli.jpg

Umejibu kila kitu sawa Ndiyo CCM kama usivyoijua
 
Baada ya maandamano ya jana hatimaye leo matunda yameanza kuonekana.Jambazi moja limeuawa muda huu eneo la mkuzo na maiti yake imechukuliwa na polisi kwa kusindikizwa na wananchi kupeleka mochwari.Wananchi wasingechukua maamuzi ya kushinikiza polisi leo hii hakuna kitu kingeendelea.Mchana aliuawa mmoja eneo la Mshangano.
 
kwa hiyo jumla wameuwawa wa 2? Unauthibitisho gani kuwa ni majambazi? Mana kuna taarifa nyingine ililetwa hapa mchana kuwa raia mwingine auwawa mchana wa leo.
 
Baada ya hali kutulia leo, jioni hii tumejificha tena ndani kwani polisi wameanza kupiga mabomu hapa mjini kutawanya wananchi na waendesha pikipiki wanaoshangilia kuuliwa eneo la mkuza hapa songea! Wezi wanaiba kwani watu wametawanyika!
 
Kutokana na vurugu, maandamano na mauaji yaliyotokea jana Wilayani Songea, kuna habari nilizozipata jioni hii ni kwamba Police wanaendelea na msako Wilayani hapo na kusambaratisha aina ya mikusanyiko yoyote watakayo kutana nayo; pamoja na msako huo watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi nao wameuawa katika eneo moja liitwalo Mkuzo wilayani Songea.
Source ni mkazi wa Wilayani hapo(Songea).
 
Hali ya amani songea imekuwa mbaya sana kama jana, haki za watu lazima zitendeke! Damu za watu haziwezi kupotea!
 
Walitangaza ulinzi utaimarishwa na kama huna ulazima wa kutoka nje usiku usitoke. Tafsiri yake ndiyo hiyo !!!
 
Tza iko vitani,sawa na Afghanistan,inapaswa waletwe wanageshi wa kulinda amani toka nchi wanachama wa UN!
 
Tuko hapa Addis ababa tunafanya kikao cha maamuzi magumu,kuleta wanajeshi wa kulinda amani huko Tza!Nchi haiba amani ninyi mnazuga ipo!
 
Back
Top Bottom