Mabomu ya machozi yanarindima Ifakara sasa hivi

Mabomu ya machozi yanarindima Ifakara sasa hivi

Unajua UKAWA wanatakiwa wajue haya kuna sehemu CCM wanakuwa wanaandikisha watu wawili ama watatu harafu wanaacha page mbili ama nne ili wawajaze watu wao baada ya kuwa wameandikisha muda wa kawaida sasa sijui kama CHADEMA,CUF NCCR wanalijua hilo na wamejiandaaje kwa hilo ndugu yangu Tumaini Makene upo kaa chonjo CCM ni hatari!
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh but mwisho wa cku watashindwa na hizi ndo cku zao za mwisho!!!!!!
 
Back
Top Bottom