Mabomu ya machozi Arusha

miaka hamsi ya uhuru wanaomba utawala wamjerumani urudi kuliko huu wa ccm..duu
 
Lakini na hawa madereva wa Bodaboda wanakera sana! ila haikufaa kumuua(kama ni kweli) angemchapa vibao tu!
 
hao wananchi wamefanya makosa sana, pale walipomuona wangemchinja kama kuku ndio watu wangejifunza matumizi ya silaha, haiwezekani masikini tuwe tunadungukiwa kama vile kunguru...nina hasira hapa huwezi amini...ningekuwepo huko nahisi pangechimbika.
 

Labda tufanye umehakikisha kuwa ni kweli, je? ungechangia jambo gani zaidi ya haya uliyoandika?
 
Sitegemei serikali hii na policcm wawe na aibu ama utu. Kama waliweza kuwadhulumu wastaafu wa EAC fedha zao ambazo hata hawakutoa wao, itaonea aibu matukio ya kuwaachia watu watambe kwa kuwa wana vijisenti vya kuwanunulia bia jioni?
 
Ama kweri hiri rijama ni hatari sana rinamshuti mwenzake kama rinyama ra mwituni
 

Upo sahihi kamanda, muda huu ndiyo tunatoka kwenye mazishi ya yule jamaa ailyeuawa, na watu walikuwa wengi sana, na kilichowafanya watu wawe wengi kwenye ule msiba ule siyo umaarufu wa marehemu, bali kuachiwa huru kwa muuaji na mabomu ya polisi.
 
Hela ya Afgem hiyo, na utakuta muuaji ni mgeni tu kaja juzi juzi arusha.

Nisamehewe lakini ntamlaumu sana Mheshimiwa Marehemu Solo Sumari (MB) R.I.P, yeye alipewa hii deal ya kuwapeleka vijana wa kimeru samax enzi hizo akaamua kuwatoa vijana wengine mikoani kwa rushwa. Leo hii wanashika hela ya vicherema kwa kaburu wanaua watu hovyo, wanadharau polisi sana sana traffics, uzinzi etc.

Leo wanaua, hii sio mara ya kwanza, wala ya pili.

Na cruiser zao zina vibandiko/peperushi vya CCM.
 


aliyeua ni fundi garage maeneo ya sakina Arusha moden
 

Mkuu muuaji ni mwenyeji wa kilimanjaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…