LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,498
- 3,390
yaani nyan'gau huyu anaona gari lake bora kuliko uhai wa mtu, he he he he he yaani ningempata huyu namfunga makamba halafu namkata kiungo kimoja baada ya kingine halafu nambandika kwenye sufuria halafu naenda kutupia simba au kunguru shenzi kabisa pumbavu. Namlaani kwa maneno yote magumu huku dunia, kila balaa na mkosi vimuandame, kha mtu unakosa utu namna hii hata hao polisi waliomtoa na wenyewe walaaniwe tena kama wamepokea kitu kidogo adhabu yao iwe sawa na ya muuaji
Ni maeneo ya Kwangulelo baada ya jamaa mmoja mwenye gari alipomuua dereva wa pikipiki baada ya kupita gari lake ghafla. (pikipiki ilichomekea gari)
Mwendesha bodaboda alisimama pembeni ya barabara na kupiga magoti kuomba msamaha kuwa alikuwa anajiokoa kugongwa na gari ligine ila jamaa mwenye gari alichomoa bastola na kumuua hapohapa. Hayo yalijiri juzi saa 3 usiku na leo ndio mazishi. Cha ajabu yule dereva pamoja na kuwekwa kituo cha polisi, aliachiwa as if aliua kuku tu. Leo wakati wanajiandaa kwa mazishi yule aliyeua kaonekana akiendesha gari lake na ndipo wananchi na madereva wa bodaboda wakaenda nyumbani kwa yule muuaji na kuchoma nyumba yake na kuharibu kila kitu. Baada ya hayo kujiri wakawa wanaelekea nyumbani kwa wafiwa na kumbe taarifa zimeshafika polisi ndipo wakaja kujaribu kutawanya watu... Wananchi wamekataa wanahoji kisa cha mtu kuua na kuachiwa usiku huohuo. Wakafunga barabara kuu ya Moshi-Arusha. Polisi walipoanza kupiga mabomu ya machozi ndipo wananchi wakabeba mawe na kuiweka gari ya polisi kati kabla hawajaanza kupambana na polisi magari mengine ya FFU yaliyokuwa mahakamani kwenye kesi ya Lema yakaenda kutoa sapoti na ndio kisa cha MABOMU. Magari sasa yanatumia barabara ya Kwangulelo-Kijenge.
Yani Mkuu utu wa kibinadamu umetoweka kabisa mioyo mwa wanadamu baadhi. Mtu kakupigia mpk magoti na bado unamshut tu! Yani hili halikubaliki hata kidogo hata mbele ya Mwenye Enzi!
Halafu unawakuta member wengine wanatapika hovyo utafikiri haya yaliyotendwa na huyu muuaji ni mazuri!
Hauamini nini sasa?????
Kama wewe unakatabia ya kurushaga kitu hambacho haujadhibitisha hakika ujue ni wewe tu ndio mjinga!
Humu jamvini member wako makini zaidi ya ujuavyo (uvikirivyo) na labda ni wewe na lile genge lako ndio mnashindwa kuamini yajirio hapa jamvini!
Pole kwa kukosa uaminifu!
hawa vijana wa arusha wana fujo sana! NAWASHAURI policcm wawafyatulie mabomu yawapasue kama kule iringa nyororo!
hawa vijana wa arusha wana fujo sana! NAWASHAURI policcm wawafyatulie mabomu yawapasue kama kule iringa nyororo!
Jinga kubwa hilo linapita!
Member wengine kama huyu sijui wanakuga na masaburi tu bila kichwa ya kufikiri.
Inanipa wakati mgumu kuwatafakari sana! Utafikiri siyo wanadamu wao!!
Nyie si ndio misukule mnaoamini kila kitu? wala sikushangai.
kaka lugha yako kali!lakini si nina uhuru wa kutoa maonipumbavu wewe angekuwa kaka yako ungesema haya, toka hapa balaa wewe, nimekusonya mara elfu kumi, kisirani mkubwa huna hata utu unajifikiria mwenyewe tu, na likufike na wewe tuone kama hutatake back your words idiot.
Nyie si ndio misukule mnaoamini kila kitu? wala sikushangai.
baba nimekumiss! i hope upo salama!Nampa hongera sana mleta mada maana amejaribu kuunganisha tukio la juzi na la leo ili kumpa msomaji picha kamili...huu ndio uandishi uliotukuka!
Bahati mbaya niko kwenye simu ningekuongezea Reputation mkuu wangu.
Achana na zomba ambaye hata akiona picha anauliza..."imepigwa na nani?"
Wewe mtumwa kibaraka wa chama,jaribu kuwa na mwenendo mzuri humu maana tunakuona sana tena sana zaidi ujuvyo! Huu utumwa mpaka lini? Mi binafs nakushauri badilika haraka iwezekanavyo kijana!
Mwenendo wako wote wa post zako nazichambuaga sana na sijaona lolote la kutufundisha zaidi ya upotoposhaji zomba!
sawa mrembo! wewe endelea kunitafakari tu!Jinga kubwa hilo linapita!
Member wengine kama huyu sijui wanakuga na masaburi tu bila kichwa ya kufikiri.
Inanipa wakati mgumu kuwatafakari sana! Utafikiri siyo wanadamu wao!!