Mabomu ya awamu ya 5 yanaweza kumlipukia Rais Samia

Ni ngumu sana damage iliyofanywa kwa watu na taifa kufutika kirahisi rahisi. Na utakaposhangaa ni pale wengine wanapolazimisha eti asitajwe wakati kuna watu wamefariki miaka zaidi ya 100 iliyopita, na bado hawajaachwa!!
 
Mkuu kuliacha ilo bwawa la Nyerere KWA lilipofikia ,naona bado ni hasara kubwa KWA taifa,limetusomesha no Sana ni vyema likamilike then tuangalie gesi hakuna namna ,tukilitelekeza itakua biashara kichaa, awam ya tano ilicho kifanyia Taifa Mungu ndo anajua, ila KWA sura nyingine awam ya 5 ndo ya sita kilichobadilika ni namber tu 5na 6
 
Hivi mnajitoa akili au? Mama Samia ndie naibu Raisi so kila kitu alipanga nae Mwendazake so hakuna tofauti lao ni moja so result zao wote hakuna cha awamu ya tano wala Sita kama uozo ni uozo na kama nzuri ni nzuri tu hakuna cha kutofautisha hapo... na Mama mwenyewe alishasema la Magu ni lake
 
Humu ndo wamejazwa wanasema "kuua" legacy na hawajui wanachokifanya ndo kitowatafuna, kule field wala hawana smartphones hizi wanazotumia kumtukana, wamwambie huyo Zito akasimame jukwaani aongee huo utumbo aone kitachompata.
Sumve 2015 mimi niko kijijini Iselamagazi - Shinyanga na wenzangu na smartphone tunazo za kutosha na tunajua yote..

By the way unaelewa hata maana ya "legacy" kweli wewe?

Tuashumu unaelewa. Na naamini unaelewa kuwa mtu aweza kuacha kumbukumbu mbaya au nzuri, au siyo..? Sasa baba yako ametuachia kumbukumbu gani...?

Kwa hiyo ni kweli kabisa, baba yako Maguguli Pombe ameacha kumbukumbu (wewe unaita - legacy) ambayo pengine haitafutika kwenye vichwa vya watu...

You know what?

It's NEGATIVE LEGACY. Ni kumbukumbu mbaya. Ndiyo hii ya mgawo wa umeme...

Ushauri kwako.

Acha Mwendazake aende zake apotee na mabaya yake. Think about the future, think about positivity. Forget about him and his negativity...
 
Upumbavu mwingine wa kalne mlianza na muhongo pasi ikapigwa kwa January akapiga v pass kwa zito akarejesha nyuma kwa vp akadai maradi wa MNHPP unahujumiwa Mara Hilo like na kule Leni Ni moja kuwairejeshea kina singh.
Moja ya Jambo litakalo wamaliza kwa sasa chezeni na umeme mtaondoka nawaapia,
Heri mabomu yalitengenezwa na mwendazakeeee! Samia alikuwa serikari gani? Mpango je? Msitufanye wajinga, dabueni tutakutana 2025.
 
Wapuuzi wakubwa nyie hatukuwahi kusikia mgao miaka yote ya mwendazake mtukome****
 
Ukarabati wa miundo mbinu ya umeme haufanywi na serikali kuu. Tanesco ni shirika ambalo linaendesha mambo yake lenyewe. Maswala yake ya maintanance hayaingiliwi na serikali. Ni wapi serikali iliyopita iliiambia Tanesco isifanye ukarabati wa miundo mbinu yake? Msichanganywe na kina JEPESI wanaotetea matumbo yao. Hii nchi inakwamishwa na unafiki kwa sehemu kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…