Mabomu ya awamu ya 5 yanaweza kumlipukia Rais Samia

Nimesoma Twitter, Zitto Kabwe akitoa maoni kuhusu umeme.

Zitto anasema katika miaka mitano iliyopita hatukuongeza uzalishaji wa umeme wa maji na ukweli ni kwamba uzalishaji ulipungua. HILO LILIKUWA BOMU LA KWANZA LA SERIKALI YA WAMU YA 5 ambalo lazima kuna siku lingelipuka. Hili hapa linalipuka, Rais Samia ndiye yuko madarakani

Wakati huo hatukuwa tunafanya ukaratabati wa miundombinu ya umeme. Hivyo tulikuwa tunatumia mbinu za muda mfupi kujikinga na janga. Namaanisha, tulikuwa hatukarabati kwa hofu kwamba ungekatika kwa wakati ule, lakini kukatika kule kungekuwa kwa muda mfupi tu. NI BOMU LINGINE, Linalipuka Rais Samia akiwa madarakani.

Tuwe wa kweli, ni kipindi kirefu hatujaona jua kali kiasi kilichopo sasa. Wenzetu waliopo Dar wanaweza kueleza zaid.

Jua kali hivi lazima liathiri vyanzo vya maji, na hivyo kauthiri uzalishaji wa umeme pamoja na upatikanajia wa maji majumbani. BOMU LINALOTISHA HAPA ni kwamba tumewekeza sana kwenye umeme wa maji. Kule Rufiji tuna mradi wa zaidi ya trilioni 6. Je, tuna uhakika mradi ule hautapigwa na athari za mabadiliko ya tabianchi? NADHANI NI BOMU HILO kwa maana naamini Rais Samia angetumia fedha zilizoelekezwa Rufiji kuwekeza kwenye gesi na vyanzo vingine vya umeme. Lakini Serikali iliyopita ilishafika hatua ambayo Samia hana uchaguzi zaidi ya kukamilisha mradi ule.

IMANI YETU KUBWA : Rais Samia atategua vyema mabomu haya na tutavuka salama. Kila la heri Rais wetu mpenndwa.
Ni mtazamo wake tuu na hauna ukweli wowote kisayansi zaidi ya porojo . These kind of politicians have been a waste to this country....everyone is working to fill his/ her stomach without considering our future generations.

Kuna muda huwa nawaza kuwa wapinzani watanzania ni Kama hawajui wanataka Nini.
1.Je wanataka kuongoza nchi?
2. Je wanashindania ni chama gani kitakuwa Chama kikuu Cha upinzani?
3.Au wanatafuta mwanya na wao wazishambulie rasilimali za nchi Kama wenzao wanavyofanya?
4. Au labda wanataka kulipiza kisasi kwa ccm inavyotumia dola kuwaminya?
 
Miaka mitano ya Jpm ilijikita kweny uongo mwanzo mwisho
Yaani ni miaka ambayo watu tuligeuzwa ndondocha huku wengine wakifurahia kuwa ndondocha manake unapowadhihirishia yaliyo dhahiri, kwa uzwazwa wanaamua kuendelea kukumbatia uongo!!
 
Mataga bwana hamjambo kwa pointless
 
Mpaka leo hujui upinzani unataka nini? we utakuwa mjinga wa kutupwa nchi nzima.
 
Yaani ni miaka ambayo watu tuligeuzwa ndondocha huku wengine wakifurahia kuwa ndondocha manake unapowadhihirishia yaliyo dhahiri, kwa uzwazwa wanaamua kuendelea kukumbatia uongo!!
Sumu ya yule jamaa haitotoka kiurahisi Mkuu.

Wanavyomchukia Samia nia ajabu. Ila ajabu kubwa haohao walikuwa tayari kufanya uhaini wa kumsimika rais waliyemtaka wao bila uwoga baada ya Taa kuzimika....taaa! Na hili wangelipongeza hawa walevi wa Pombe.

Hawa watu ni wahaini. Ndiyo maana hawana akili, akili yao ni uhaini tu.
 
Pole sana...

Bila shaka nawe ni Victim mwingine wa uongo wa awamu iliyopita, au uliamua tu kusikiliza kila unachoambiwa:-
Mkuu, salaamu.

Maswali
1. Kauli ya gesi siyo yetu ilitolewa lini kwa mara ya kwanza?
2. Marekebisho ya sheria za madini na rasilimali nyingine nchini yalikamilika lini?
3. Uendelezaji wa kuchakata gesi kuwa liquid ulirejea lini?

Karibu kwa majibu.
 
Gesi sio yetu ni ya nani?
Wapumbavu wanasahau tushaelezwa gesi sio yetu tena, walitaka JPM ashiriki ujambazi wao kwa Taifa kwa kuwajengea miundombinu...Mungu anawaona, tunamfahamu vizuri sana Zitto ni Kipara na Kipara ni Zitto, walitueleza umeme unakatwa ili wafanye service za mitambo, leo wamesahau wanasema ni mambo ya tabia nchi... pathetic
 
Nimesoma Twitter, Zitto Kabwe akitoa maoni kuhusu umeme.

Zitto anasema katika miaka mitano iliyopita hatukuongeza uzalishaji wa umeme wa maji na ukweli ni kwamba uzalishaji ulipungua. HILO LILIKUWA BOMU LA KWANZA LA SERIKALI YA WAMU YA 5 ambalo lazima kuna siku lingelipuka. Hili hapa linalipuka, Rais Samia ndiye yuko madarakani

Wakati huo hatukuwa tunafanya ukaratabati wa miundombinu ya umeme. Hivyo tulikuwa tunatumia mbinu za muda mfupi kujikinga na janga. Namaanisha, tulikuwa hatukarabati kwa hofu kwamba ungekatika kwa wakati ule, lakini kukatika kule kungekuwa kwa muda mfupi tu. NI BOMU LINGINE, Linalipuka Rais Samia akiwa madarakani.

Tuwe wa kweli, ni kipindi kirefu hatujaona jua kali kiasi kilichopo sasa. Wenzetu waliopo Dar wanaweza kueleza zaid.

Jua kali hivi lazima liathiri vyanzo vya maji, na hivyo kauthiri uzalishaji wa umeme pamoja na upatikanajia wa maji majumbani. BOMU LINALOTISHA HAPA ni kwamba tumewekeza sana kwenye umeme wa maji. Kule Rufiji tuna mradi wa zaidi ya trilioni 6. Je, tuna uhakika mradi ule hautapigwa na athari za mabadiliko ya tabianchi? NADHANI NI BOMU HILO kwa maana naamini Rais Samia angetumia fedha zilizoelekezwa Rufiji kuwekeza kwenye gesi na vyanzo vingine vya umeme. Lakini Serikali iliyopita ilishafika hatua ambayo Samia hana uchaguzi zaidi ya kukamilisha mradi ule.

IMANI YETU KUBWA : Rais Samia atategua vyema mabomu haya na tutavuka salama. Kila la heri Rais wetu mpenndwa.
Wee na wee unatetea ujinga ..kikwete rafiki yake na zito aliongeza kiasi gani cha umeme
 
Yule jamaa aliwaunga Wanavijiji kwenye REA wakati anajua fika vyanzo vya kufua Umeme ni vya kuungaunga.
Ila JPM bhana, aliongea na Mungu kuwa pindi awapo madarakani mito ijae maji sio?
Kwann maji saiv ndo yapungue, mara service ndo muda wake, mara Tanzania hakuna crane ya kubeba tanni 30??
Kwa style hii wanataka kuleja hoja za umeme wa shida so tusitishe SGR..
 
Back
Top Bottom