Mahaba hayo kwa MTU aliyekataliwa!!Daaaah....mkuu umeongea mambo mazito sana, kwanza hongera sana kwa maneno yako yaliyoshiba hekima na weledi, kwa wenye akili kubwa watakuelewa sana but mazombi ya Lumumba hayataona point yako, coz walishafungwa ufahamu.
Hata mm niseme ukweli wangu toka moyoni, kweli kabisa sikumpenda huyu mzee Lowassa, but nimejifunza vitu vingi sana kutokana na aina yake ya siasa anavyoifanya, kinywa chake kimejaa hekima, kichwa chake kimejaa busara ya hali ya juu, moyo wake umejaa msamaha.
Hana majigambo, kujitapa, kujikweza na hata kujiona yeye ni wa thamani sana kuliko wengine, japo kuwa ni mtu mwenye uwezo mkubwa kwa kipato, na amezaliwa kwenye utajiri mkubwa sana
Nashafishika kusema naona watu waliozaliwa kwenye familia bora, na zenye kipato kikubwa yawezekana wakawa viongozi bora kuli hao wanaojitapa kuwa watoto wa masikini, wakishapewa madaraka ndo wanavimba vichwa na kujiona kama wafalme, kumbe pengine ni ulimbukeni, ushamba, na kutokuzoea mambo ya kifahari toka wakiwa wadogo.
Inashangaza sana!!Huyu Mzee wanamuandama sana...Mpaka sasa tunaanza kuamini kweli walimuibia kura zake.Maana yaani huku na huko ni kufitini tu.Walianza kwa kumzushia ugonjwa,wengine wakaanza wao kufa na wengine sasa tumeona kwenye kurasa za mbele za magazeti wakiwa vitandani wanapewa pole.Mungu apishie mbali wanaweza kutangulia wao na jamaa akaendelea kubaki.
Mwanadamu hajakamilika,inawezekana ni kweli huyo Eddo ni "Fisadi" mkubwa sana...Lkn ni dhahiri sasa kuwa huyo Eddo ni "Mtu mwenye hekima" sana ktk wanasiasa wa level yake.Ana kifua,anastahimili,yote yanayotupiwa kwake anabariki na kusamehe...Muda wote tabasamu na maneno ya kusamehe.Alaumu mtu wala hatukani mtu...Amekaa katikati ya wale waliomtukana miaka mingi na akasema "Tusameheane na tusonge mbele"...Aliokaa nao miaka zaidi ya 40 wakimpenda na kumpa vyeo ndio leo wanamtukana na kumsimanga.Lkn amekaa kimya,akipata muda wa kujibu atasema "Nimesamehe,sina kinyongo".
Walimwambia kajiny....ea...Mbele ya mke,watoto na wajukuu wake.Alitabasamu na kusema "Siasa zao si za kistaraabu".Akapiga moyo konde na kwenda mbele....Sikuwahi kumpenda huyu jamaa,lkn mapito yake yamenifundisha kitu kikubwa sana ktk ulimwengu huu na walimwengu!!SILAHA KUBWA YA KUKABILIANA NA MAJARIBU NI UKIMYA MKUU NA HEKIMA!
Kuna jamaa yeye akitekenywa kidogo tu anaibuka...Sijaribiwi,ooooh ntafunga mtu!!Oooh anayeficha sukari atahama nchi!Mara wenye hela na matajiri lazima waishi kama Mashetani!!Akistuliwa kidogo utasikia natumbua mtu sasa hivi...Watu Ijumaa walikuwa wanapanda ndege wanaenda Dubai,Jpili wanarudi na J3 wapo kazini...Hawa utawala wangu Dubai wataisikia!!ha ha ha ha hizi ni "Poverty Mentality"....Mtu anafikiri kuishi kimasikini ndio sifa...Yaani fikra za kimasikini zimeganda akilini mpaka mtu anaona kuishi maisha mazuri ni dhambi ila kuishi kimasikini ndio fahari.
Huyu akiona watu wanaenda Ibiza weekend anaumia....Hataki watu waende na familia Znz weeknd na jpili warudi Dsm....Edward unawafundisha sana watu nini maana ya "HEKIMA"
Sasa ndio nagundua..Mfalme Suleimana na ufahari wake wote,alipoambiwa na Mungu anataka apewe nini?badala ya kuomba majeshi na watumwa wengi na fahari ya mifugo....Aliomba HEKIMA!
Hujajibu.Aache kutafuta kick kwa kutumia majanga! Kama ana Pesa akachangie madawati na huduma zingine!
Nenda Allepo basi ukafurahie maisha!dah! [emoji87] umeongea vitu adimu sana sana sina chakuongezea tunaishi kwa hofu kama tupo vitani mungu tusaidie
Hali ni mabya cjaonaWanajua wakimuachia wananchi walivyochoka na hali hii watambeba kumpeleka magogoni
Siyo kweli mkuu! Sema hivi kubebwa na Lubuva mpaka magogoni siyo mchezo lazima ujiharishie ukiguswa kidogo tu!Kura milioni sita si jambo dogo kaka!?
Alienda kagera kama nani? Waziri mkuu mstaafu , kiongozi wa upinzani, raia wa kawaida au kama kada maarufu wa chadema?Maafa yalioikumba tanzania huko kagera na sehem zingine yameleta simanz kwa watanzania wengi. Hiyo imewalazimu watu wa kada tofauti tofaut kufika eneo lile . Kuanzia wa upinzani na ccm na serikali, mpaka majirani kama kenya wamefika.
Ccm wametembelea bila shida, wazir mkuu bila shida , upinzani akina mbowe na Mbatia walipata figisu figisu kidoogo.!!
Lakin alipoingia Lowassa police wakajaza magari mafuta mabomu wakapakia, bunduki wakazikoki, na hatimaye wakatawanya watu wanaompokea anapowasili kwann??
Kwan hao wengine hawakupokelewa na watu??
Swali lowassa ana nn kibaya katika serikali hii??
Kwann serikali inamwandama kila anapokwenda??
Huenda [emoji1] [emoji1]Wanajua wakimuachia wananchi walivyochoka na hali hii watambeba kumpeleka magogoni
Ulimbukeni ni mzigo mkubwa sana.Na hili ndio tatizo la mfalme ndio maana hata wafalme walikuwa wanachaguliwa kwa busara zao.Dee key teta hawezi kuwa na busara na limbukeni hawezi kuepuka majivuno na roho ya kwa nini.Daaaah....mkuu umeongea mambo mazito sana, kwanza hongera sana kwa maneno yako yaliyoshiba hekima na weledi, kwa wenye akili kubwa watakuelewa sana but mazombi ya Lumumba hayataona point yako, coz walishafungwa ufahamu.
Hata mm niseme ukweli wangu toka moyoni, kweli kabisa sikumpenda huyu mzee Lowassa, but nimejifunza vitu vingi sana kutokana na aina yake ya siasa anavyoifanya, kinywa chake kimejaa hekima, kichwa chake kimejaa busara ya hali ya juu, moyo wake umejaa msamaha.
Hana majigambo, kujitapa, kujikweza na hata kujiona yeye ni wa thamani sana kuliko wengine, japo kuwa ni mtu mwenye uwezo mkubwa kwa kipato, na amezaliwa kwenye utajiri mkubwa sana
Nashafishika kusema naona watu waliozaliwa kwenye familia bora, na zenye kipato kikubwa yawezekana wakawa viongozi bora kuli hao wanaojitapa kuwa watoto wa masikini, wakishapewa madaraka ndo wanavimba vichwa na kujiona kama wafalme, kumbe pengine ni ulimbukeni, ushamba, na kutokuzoea mambo ya kifahari toka wakiwa wadogo.
Huna jipya mpiga zomali wa Lumumba, kama amekataliwa mbona kutwa kucha pressure juu, mnahaha kila kona asikutane na wananchi?Mahaba hayo kwa MTU aliyekataliwa!!
Sasa mbona hueleweki?Umeambiwa mti wenye matunda we unaongelea uchafu.Hata wakijaa
Kinacho wafanya wajae ni uchafu
wengine pia walidumaa kutokana na ukisefu wa lishe bora usisahau hilo,wala elimu zao zisikutishe maana wamezipata kwa shida kweli kweli.nakumbuka wakati nasoma Mzumbe sekondari kuna jamaa yangu O level alipata one ya 17 nikamwambia ndugu umefeli maana muda aliokuwa anatumia prep na alichopawa were inversely proportionalDaaaah....mkuu umeongea mambo mazito sana, kwanza hongera sana kwa maneno yako yaliyoshiba hekima na weledi, kwa wenye akili kubwa watakuelewa sana but mazombi ya Lumumba hayataona point yako, coz walishafungwa ufahamu.
Hata mm niseme ukweli wangu toka moyoni, kweli kabisa sikumpenda huyu mzee Lowassa, but nimejifunza vitu vingi sana kutokana na aina yake ya siasa anavyoifanya, kinywa chake kimejaa hekima, kichwa chake kimejaa busara ya hali ya juu, moyo wake umejaa msamaha.
Hana majigambo, kujitapa, kujikweza na hata kujiona yeye ni wa thamani sana kuliko wengine, japo kuwa ni mtu mwenye uwezo mkubwa kwa kipato, na amezaliwa kwenye utajiri mkubwa sana
Nashafishika kusema naona watu waliozaliwa kwenye familia bora, na zenye kipato kikubwa yawezekana wakawa viongozi bora kuli hao wanaojitapa kuwa watoto wa masikini, wakishapewa madaraka ndo wanavimba vichwa na kujiona kama wafalme, kumbe pengine ni ulimbukeni, ushamba, na kutokuzoea mambo ya kifahari toka wakiwa wadogo.
Fanyeni kazi maandamano ya nini? Kama hamna cha kufanya mjini hapo Rufiji kuna pori mkalime nyanya na matikiti Maji yanalipa kuliko maandamano ya Ulipo tupo na 4U!Huna jipya mpiga zomali wa Lumumba, kama amekataliwa mbona kutwa kucha pressure juu, mnahaha kila kona asikutane na wananchi?
Si mumuache akakataliwe na watu hadharani kwenye mikutano ya kisiasa tuone na dunia mzima ishuhudie!!
Alienda kagera kama nani? Waziri mkuu mstaafu , kiongozi wa upinzani, raia wa kawaida au kama kada maarufu wa chadema?
Sheria ya nchi iko wazi mikusanyiko ya aina yoyote ni lazima yaombewe kibali ikiwa ni hata kama mapokezi ili serikali itoe ulinzi kwa hao wapokeaji na wasio wapokeaji ambao wanaweza kukwazika na huo mkusanyiko.
Je aliomba kibali? Huu ni utawala washeria mambo ya kienyeji enyeji yaliyashakwisha tangu enzi za mkwere. Na bahati yake wangemvunja kiuno ili next time ajifunze kuwa akitaka kuingia kwa mtu yoyote lazima apige hodi