mabomu mengine Dar?

Duu watu hamlali mpo tu mnalinda nchi isiibiwe na mnasikiliza nini kinafanyika.....
 
Ngojeni jk aje kuwachukua na gari la serikali. kwani ambulance hazifiki GM na Mbl?

Wenyewe wanakula AC na funds za wananchi...
 
kumekucha sasa, tafadhali mwenye taarifa za uhakika atujuze ilikuwa ni nn? bado yanaendelea?kuna madhara yoyote kwa binadamu?
 
Kumbe fataki zimepigwa marufuku, Lakini sisiemu hawana marufuku.Maana usiku wameyalipua sana.Kova unasemaje??
 
Zilikua fataki pande za Diamond Jubilee. kuna sherehe za wahindi za kumkaribisha kiongozi wao.
 
Watanzania Bwana kila mtu anaongea lake! Halafu kumbukeni Magamba jana walikuwa pale Mnazi mmoja wamekesha mimi nimepita pale saa saba usiku wanapiga mafataki sijui sherehe za nini
 
Back
Top Bottom