mabomu mengine Dar?

Hivi haya mabomu hayawezi kulipuka halafu bahati mbaya (au hata bahati nzuri) yakaelekea kutua mitaa ya lumumba na kivukoni tu?
 
Jana CCM walikuwa na sherehe pale mnazi mmoja wamekesha! Nimepita pale saa saba usiku wapiga mafataki sijui sherehe za nini JK nae alikuepo
Kwani mkuu umesahau sherehe za kuzaliwa TANU? Utakuwa mkesha wa saba saba tu....hii saba saba ni sherehe za kuzaliwa TANU tu, hilo la kusema ni siku ya wafanya biashara ni changa la macho tu?
 
Back
Top Bottom