Biashara ya daladala Dar ishaingia mdudu

Biashara ya daladala Dar ishaingia mdudu

Wabuni ruti mpya. Gongo la Mboto Mbagala via Mvuti na Kitonga.
Mbezi Bunju via Mpigi Magoe/Mabwepande
Mpigi Magoe to Gongo la Mboto via Mbezi
Chanika Tandika via Gongo la Mboto
Tegeta Segerea via Mbezi
Goba Segerea via Mwenge
Kigamboni Mbezi via Mandela Rd
Ununio Makumbusho via Mwai Kibaki Mbezi Chini
Kigamboni-Kinyerezi via Mandela Rd/Tabata

Tatizo hao LATRA wenu hawana watu waona mbali....eti kuna viroute Mbezi Segerea. Au Kimanga Kinyerezi.
 
Ukute mtu ana eicger namba e bado mbichi alafu yupo route ya tegeta,mbagala, g mboto sijui wana hali gani

Maana mwendokasi unakuja kuwaondoa wote

Dar dala dala haziwezi kukosa route

Kila siku watu wanaongezeka na mji inapanuka. Mwendo kasi haiwezi kufika kote.

Kuna route mpya kibao bado hazijaanza na miundombinu imeshakamilika na abiria wameshajaa.

Mfano Mbande - Gongolamboto via kilungule buza road

Hiyo tu ni route ya Eicher za kutoshaa na bado haijaanza huku lami imeshakamilika kote
 
Wabuni ruti mpya. Gongo la Mboto Mbagala via Mvuti na Kitonga.
Mbezi Bunju via Mpigi Magoe/Mabwepande
Mpigi Magoe to Gongo la Mboto via Mbezi
Chanika Tandika via Gongo la Mboto
Tegeta Segerea via Mbezi
Goba Segerea via Mwenge
Kigamboni Mbezi via Mandela Rd
Ununio Makumbusho via Mwai Kibaki Mbezi Chini
Kigamboni-Kinyerezi via Mandela Rd/Tabata

Tatizo hao LATRA wenu hawana watu waona mbali....eti kuna viroute Mbezi Segerea. Au Kimanga Kinyerezi.
Hii ya tandika -chanika via gomz, si kuna tandika-gomz tayari mkuu?
 
Daladala hata huku hazina soko Sana! Watu ni bodaboda au bajaj chaapu 😆
 
Back
Top Bottom