Mabomu Dar/Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabomu Dar/Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Dec 24, 2010.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Hii imetolewa muda si mrefu na wizara ya Mmabo ya Nje ya Uingereza ikiwaonya raia wake kuhusu kutembelea Tanzania

  ambako wanasema hivi:


  There is a general threat from terrorism. Attacks could be indiscriminate, including in places frequented by expatriates and foreign travellers.

  zaidi soma hapa:

  Tanzania travel advice  Ni kawaida hawa jamaa kuwaonya raia wao lakini kama mmesoma hapo juu message yao ya leo iko blunt na clear na si ya kupuuzia hata kidogo.


  Maswali:


  1. Serikali ya UK haiwezi kutoa onyo bila ya kuwa na uhakika na onyo hilo na mbaya zaidi wanapotimia neno TERRORISM inamaana kuwa kuna asilimia kubwa kuwa tunaweza kupigwa mabomu. Kwa nini vyombo vya usalama wetu havituarifu sisi waTanzania chochote?  2. Waziri wa Mambo ya ndani kwa nini hatoi tamko lolote?  3. Waziri mkuu naye mbona kimya?  4. Wizara ya Ulinzi kwa nini nayo iko kimya?  5. Kmati ya bunge ya ulinzi na usalama ina mwenye kitu mbona naye kakaa kimya?  6. Je likitokea la kutokea je nani atawajibishwa?  7. Wizara ya utaliina waziri wao nao mbona hawajatoa tamko lolote?  8. Je ni namba zipi tupige ili kujua tuepuke maeneo yepi?  9. Je huduma za emergency zetu ziko kikamilifu kukumbana na lolote litakalo tokea?


  10. Je ni nani anapngoza hiyo timu ya Civil Contingency Committee yetu? kwa nini hawa watu hawataki kujulikana ua ndio kukwepa majukumu?


  11. Je rais anayo habari kuhusu hii threat iliyotolewa na hawa Waingereza? if so mbona msemaji wa Ikulu yuko kimya?  Last but not least mbona katika website ya MoFA, mambo ya ndani, iKULU , WAZIRI MKUU, na ULINZI kwa nini hakuna tahadhari yoyote kuhusu hii issue.
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Wako busy wanaangalia jinsi ya kuchakachua kura lakini haya mengine hakuna atakayekusikiliza buddy. Kufeni poneni hayo ni yenu mtajijuuuuuuu
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  The Rostam Azizi terrorist networks in East Africa has PANICKED to the very core of their activities. It was once said that the International Community may soon be CATCHING UP with the BEASTS and their sponsors, financiers and nobody ever paid attention to all these.

  Keep looking on your shoulders, sideways to be sure whether you are SAFE enough or not. But for us we would simply be going for the masterminds and their relatives as soon as they do something in our country.

  The more we keep silence over terrorist recruting our youths into dangerous missions the more we are giving the DRACULA an undesrved space. We all NEED TO MAKE NOISE VERY LOUDLY about these people because they of course live with us in the same neighbourhoods either as friends, relatives or VISITORS.
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2010
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Of course serikali iko kwenye Xmas break na hakuna aliyekuja kujibu au kukanusha hizi taarifa za hawa wazungu
   
 5. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  jana kulikuwa na ulinzi mkali sana pale uwanja wa ndege wa mwalimu. kuna tukio nilikuta linaongelewa pale jioni ya jana ambapo msomali mmoja alimteremsha mzungu kwa pikipiki na baadaye yule mzungu akaonekana amebadilisha mavazi yake ghafla (bila shaka aliingia chooni na kubadili). Halafu polisi wakajaribu kumsogelea yule msomali, nasikia aliwasha pikipiki yake na kuondoka kasi sana kupitia upande wa kuingilia magari. Polisi walijaribu kumkimbiza na kumfyatulia risasi nne lakini msomali alifanikiwa kutokomea. Ila kwa habari nilizozipata ni kuwa mzungu alipatikana watu waliomuona akishushwa walimtambua na aliweza kutiwa mbaroni. Sasa kilichoendelea baada ya hapo hakijulikani, kama kuna mwenye habari zaidi atuwekee hapa.
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI:

  Taarifa za ki-intelijensia zinaonyesha Tanzania kuna UDINI,chadema inataka kuvuruga amani ya nchi.
  Hizi taarifa za terrorism ,ufisadi sijui mnazitoa wapi?rijeshi retu la porisi limejiandaa kikamilifu kupambana na waandamanaji Popote nchini(mfano UDOM).tunawaomba wananchi waache umbea na waendelee kuiunga mkono serikali yetu chakachuzi.

  Imetolewa na
  mwandishi msaidizi wa Dr(mara 5)
   
 7. S

  Seacliff Senior Member

  #7
  Dec 25, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mind you hii threat imeanzishwa na Tanzania yenyewe. Kama unakumbuka statement zilikuwa issued juzi na Tanzania kuwa watu wawe macho against terrorism wakati wa sikukuu - hii threat iliyokuwa issued na UK ni complement kwa hizo habari. As far as they are concerned, kama vyombo vya dola Tanzania vimeona umuhimu wa kutangaza kuwa watu wake wawe macho basi na wao wana wajibu wa kuwaonya raia wao kuhusu hiyo threat. I guarantee you hata US na nchi nyingine zitakuwa zimetoa warning kama hiyo kwa raia wake.
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  watch up at these figures ..... DSM..MS and Topical..... could be another Mohamed Atta
   
 9. T

  Topical JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  LAt could be another LRA.wtf
   
 10. f

  friendsofjeykey Senior Member

  #10
  Jan 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CONFIRMED

  Apparently Al Shabab jana wameteka meli kwenye pwani yetu

  sasa hawa jamaa walijuaje?

  WAZIRI kIVULI WA uLINZI HANA LA KUSEMA NAYE
   
Loading...