Mabomu Arusha: Makachero wayafichua mapya

Mabomu Arusha: Makachero wayafichua mapya

Hakuna jipya hapa badala yake naona ni siasa tu ya kupoteza machungu ya wananchi kwa kuwasahaulisha.

we sema ni siasa hao ndugu zako utawaona wakidakwa mmoja baada ya mwingine ndipo utajua kuwa siyo siasa.
 
mimi nimeoa mkuu! sisi wagosi tunaoa tu.
nimeona kama hoja zako ni za kumtetea tetea sana Mwigulu na ugaidi wake nkahisi labda wewe ni mkewe, basi kama wewe ni mwanaume utakuwa tu una uswahiba na Mwigulu, nsamehe kwa kuhisi wewe mwanamke, tatizo jina la MwanaDiwani linaweza kuwa mwanamke au mwanamume, ZUMBEMKUU stands for a real man.
Siko hapa kumtetea MTU bali kuutetea UKWELI ikichukuliwa kuwa UWONGO ukiachwa unaelea angani kwa muda mrefu, unaweza kuchafua hali ya hewa na kuathiri viumbe wote pamoja na kwamba katika uwongo, ukweli mara zote husimama.

Halafu naomba utambue na kubainisha kuwa siyo aliyeoa hutetewa na mke au kila aliyeolewa hutetewa na mme. Hili angalizo lako linawafaa magwiji wa kuangalia mambo subjectively lakini ni muflisi kwa wanaoangalia mambo objectively.
 
Mwingine aliyeko kwenye payroll ya kina NANIHII analeta uzi wa kitoto kwa great thinkers,UMESHINDWA BABA NENDA FACEBOOK ndo kwa level yako.
 
we mwehu kazi yako kutukana watu tu wewe ikowapi post yako ya maana hata moja ambayo umepost humu jf
Sasa wewe huu ujinga ulioleta hapa ndio unaona post ya maana bora ukae kimya kama mimi siyo ukishajitundika gongo zako unazileta hapa
 
Kama mimi ndo niwe nimehusika halafu nisikie hiyo taarifa,ntakuwa naongelea timbuktu,kwanini wasiwakamate kama wameshajulikana,hamna haja ya kutuandaa kisaklojia kuhusu hao mtakaowakamata bila kujali wadhifa wao,WAKAMATENI TU KABLA HAWAJATOROKA.

wewe kama umehusika jipange vizuri moto unakuja tena kwa kasi.
 
Sasa wewe huu ujinga ulioleta hapa ndio unaona post ya maana bora ukae kimya kama mimi siyo ukishajitundika gongo zako unazileta hapa

sikushangai watoto wa nje ya ndoa ndivyo mlivyo endelea na maneno yako machafu kwa kukosa malezi ya kindoa kwa wazazi.
 
Muda mwingi magamba mnautumia ktk mbinu chafu badala ya kujenga nchi. Msipohukumiwa na dhamirra zenu mtahukumiwa na adhira.
 
Hii taarifa si inasemekana imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndg Mulongo,,,,siamini kama kuna ukweli katika hilo maana yeye ni mCCM haswaa kwa hiyo vyvyote iwavyo anatoa taarifa itakayoiacha nje CCM wakati kuna ushahidi tayari unaonesha jinsi kada wao alivyoshiriki katika mlipuko huo wa fedheha kwa wana Arusha---ni adhabu tu CCM hiyo 14/07/2013 KURA ZOTE KWA CHADEMA
 
Heri mimi sijasoma huu upuuzi kutoka kwa m..nge wa mwigulu
 
Mulugo mwenyewe ni mwanasiasa,atueleze wapi alifanyiwa usaili wa ukuu wa mkoa..atueleze kwa nini anaudhuria vikao vya ccm..mulugo atuambia job descriptions za mkuu wa mkoa...cheo cha ukuu wa mkoa ni political appointee sasa hapo anasema nini huyu Rc feki
 
Msemaji ni mulongo mleta mada jamvini ni kilaza MwanaDiwani kibaraka wa savimbi.....haya ni mapovu tu na kuweweseka
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu ananuka harufu ya damu ya watanzania wasiokuwa na hatia!!
 
Marekani ni mshirika wa ccm na mchina nae ni mshirika wa ccm na ndiyo hao wanaochunguza hayo mabomo? Viongozi wa cdm jiandaeni kwa lolote koz marekani na china wote wamewekeza hapa nchini na mali zao chini ya ccm ziko salama ila chini ya cdm si salama kwa mtazamo wa washauri wa serikali hii....kikubwa hapa tutegemee majonzi kwani viongozi wanaotakwa na kutafutwa ni viongozi waadamizi wa cdm
 
Ccm chaliiiii, hiv mnajua siku hiz hata wanachuo wa magamba vyuon wanajfcha.Yote kutokana na tabia mbovu la gubabu ccm!!
 
Source: Mtanzania

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kwa teknolojia ya sasa haihitaji wachina kuja hapa kugundua ni taasisi ipi iliuziwa bomu nilo. Ukishapata namba zake, watajua lilitengenezwa lini na kuuzwa lini kwa nani. Sijui kama taarifa hiyo inasema ukweli hao wataalamu wa Kichina wamekuja kufanya nini kwa ni nafikiri kama uchunguzi I serious wtakuwa wamedhajua ni taasisi gani iliuziwa. Nina hakika wachina wana fuata sheria za kimataifa kwamba bomu hilo halikuuzwa kwa mtu binafsi.
 
Mulongo hawezi kuwa msemaji! Na wasiwasi na yeye pia, asilete upuuzi
 
Hii itakuwa kesi ya Nyani kapelekewa Ngedere.............
 
Back
Top Bottom