Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,291
- 2,438
Video ya tukio zima tunayo ila sura za watu hazionekani vizuri, tunataka tume huru ya majaji waifanyie Uchungu, na tume hiyo iundwe na Rais sisi pamoja na kuwa na wanasheria mahiri hawana uwezo wakuyajengea hoja za kisheria haya yaliyomo utaalamu wao umeishia kutetea wamwagia tindikali hili la mabomu zito.