Mabomu Arusha: Makachero wayafichua mapya

Marekani ni mshirika wa ccm na mchina nae ni mshirika wa ccm na ndiyo hao wanaochunguza hayo mabomo? Viongozi wa cdm jiandaeni kwa lolote koz marekani na china wote wamewekeza hapa nchini na mali zao chini ya ccm ziko salama ila chini ya cdm si salama kwa mtazamo wa washauri wa serikali hii....kikubwa hapa tutegemee majonzi kwani viongozi wanaotakwa na kutafutwa ni viongozi waadamizi wa cdm

mkuu mbona unaanza kujikanyaga unajua bwawa linaingia ruba nini,

mlifanya uhalifu bila kujua kuwa utafika mwisho sasa jiandaeeni kwa lolote,

muulizeni mtatilo amelikoroga mtwara kwa sasa ana haha kama kuku anayetaka kutaga.
 
CCM bure kabisa....hivi wanadhani hizi sarakasi zinamsadia Mtazania?
Yaani wao ni watuhumiwa (CCM & Polisi) halafu wanachagua hakimu wa kusikiliza kesi yao ktk mahakama na sheria zao wenyewe..........what type of justice is that??????

Pendekezo la kwanza ambalo ni zuri, la heshima (kuwa kama Taifa tunaweza kushughulikia mambo yetu) na la haki ilikuwa ni kuunda Tume ya Kimahakama/Kijaji.

Tume hiyo ingekuwa na uhuru wa kuomba msaada nje kama ikibidi ambapo sio hao wachina feki bali Scotland Yard, FBI na wengine wangealikwa.

Hii ni fedhaha kubwa sana kwa mamia ya raia wasio na hatia waliouawa na maelfu ambao ni majerehi kwa uhalifu na uonevu uliopo nchini kwa sasa.

Sikati tamaa kwani ninaamini pasina shaka kwamba pamoja kwa hila za namna zote ambazo serikali na CCM wanafanya/watafanya lakini siku moja angavu Kweli itasimama na Haki itapatikana tu.
 
mmezoea kufanya uharifu mnawapakazia watu safari hii imekula kwenu lazima kumfuata kileo aliko kwa wale mliolipua.
 
CCM bure kabisa....hivi wanadhani hizi sarakasi zinamsadia Mtazania?
Yaani wao ni watuhumiwa (CCM & Polisi) halafu wanachagua hakimu wa kusikiliza kesi yao ktk mahakama na sheria zao wenyewe..........what type of justice is that??????

Pendekezo la kwanza ambalo ni zuri, la heshima (kuwa kama Taifa tunaweza kushughulikia mambo yetu) na la haki ilikuwa ni kuunda Tume ya Kimahakama/Kijaji.

Tume hiyo ingekuwa na uhuru wa kuomba msaada nje kama ikibidi ambapo sio hao wachina feki bali Scotland Yard, FBI na wengine wangealikwa.

Hii ni fedhaha kubwa sana kwa mamia ya raia wasio na hatia waliouawa na maelfu ambao ni majerehi kwa uhalifu na uonevu uliopo nchini kwa sasa.

Sikati tamaa kwani ninaamini pasina shaka kwamba pamoja kwa hila za namna zote ambazo serikali na CCM wanafanya/watafanya lakini siku moja angavu Kweli itasimama na Haki itapatikana tu.

unajifariji tu ni sawa na kuoga kwenye shamba la matembele halafu ukadhani uko salama huonekani,

Mlisema mnaushahidi utoweni sasa tuone au pelekeni kwa rafiki zenu german,damu za watu malizo mwaka zitawaandama mpaka mwisho.
 
Siko hapa kumtetea MTU bali kuutetea UKWELI ikichukuliwa kuwa UWONGO ukiachwa unaelea angani kwa muda mrefu, unaweza kuchafua hali ya hewa na kuathiri viumbe wote pamoja na kwamba katika uwongo, ukweli mara zote husimama.

Halafu naomba utambue na kubainisha kuwa siyo aliyeoa hutetewa na mke au kila aliyeolewa hutetewa na mme. Hili angalizo lako linawafaa magwiji wa kuangalia mambo subjectively lakini ni muflisi kwa wanaoangalia mambo objectively.
Kuangalia mambo gani? Hivi polisi wa Tanzania wanaobambikiza watu kesi kila siku wanaweza kufanya nini? Mbona hujataka ushahidi wa raia kupigwa risasi za moto wakati bomu limerushwa? Hiyo ndo polisi unayotaka ipelekewe ushaidi? Hili ni kundi la majangiri. Wapo polisi wasiopenda hali hii na wapo wachache sana wanaotumiwa na wakubwa wao. CCM mnawezakujipanga na magazeti na polisi ila bado mtashindwa. Matumizi ya polisi ni hatua yenu ya mwisho. Kama JK angekuwa rais kwa toka miaka 30 iliyopita, hakika nchi yetu ingekuwa kama Somalia. Mwanangu wa kike wa miaka 10 ukimpa sifa za watu..ukamwambia achague mkuu wa mkoa kati ya hao watu, hawezi kuchagua Mulongo. Sasa unadhani Mwigulu ns Nape wanaweza kuinasua CCM shimoni? Mnaweza kuorder mabomu mengine kutoka China lakini hamtashinda nguvu za watu. Mulongo anataka kumtafutia Lema kesi isiyo na dhamana na kuvuruga uchaguzi mdogo Arusha. Huwezi kuwa mhuni na ukaongoza mkoa muhimu sana kama Arusha. Aliyemteua Mulongo, Mulongo mwenyewe, Nape, Mwigulu, RPC Arusha ba wengine wengi wanaopewa vyeo na kutumia hela za walipa kodi, hamna sifa za kuwa viingozi. Nyie ni watu wa maigizo tu. Tukiwaita wapumbavu, mnasema hilo neno si zuri. Sasa mjitafutie jina wenyewe.
Mpo busy kufatilia aliyerusha bomu. Je, hao polisi waliowafyatulia risasi raia mmewafanya nini? Au mnasubiri mchina aje kuwatafuta? Kazi hamziwezi. Mmepewa kama zawadi tu ila si kazi zenu. Mmeona wamarekani walivyoserious na kazi zao za ulinzi? Ukimpeleka Mulongo na vilaza wake ukawapa uongozi wa juu Marekani, nchi hiyo itakuwa Somalia kwa muda mfupi. Hivyo tatizo si raia. Ni nyinyi na maigizo yenu.
 
CCM bure kabisa....hivi wanadhani hizi sarakasi zinamsadia Mtazania?
Yaani wao ni watuhumiwa (CCM & Polisi) halafu wanachagua hakimu wa kusikiliza kesi yao ktk mahakama na sheria zao wenyewe..........what type of justice is that??????

Pendekezo la kwanza ambalo ni zuri, la heshima (kuwa kama Taifa tunaweza kushughulikia mambo yetu) na la haki ilikuwa ni kuunda Tume ya Kimahakama/Kijaji.

Tume hiyo ingekuwa na uhuru wa kuomba msaada nje kama ikibidi ambapo sio hao wachina feki bali Scotland Yard, FBI na wengine wangealikwa.

Hii ni fedhaha kubwa sana kwa mamia ya raia wasio na hatia waliouawa na maelfu ambao ni majerehi kwa uhalifu na uonevu uliopo nchini kwa sasa.

Sikati tamaa kwani ninaamini pasina shaka kwamba pamoja kwa hila za namna zote ambazo serikali na CCM wanafanya/watafanya lakini siku moja angavu Kweli itasimama na Haki itapatikana tu.
Kamanda, hata wakitafuta jaji. Kwani kesi ngapi wametunga na zikifika mahakamani aanashindwa kuzitetea? Unaikumbuka ya Rwakatare? Ya tindikali? Hawa watu ni vilaza. Wanadhani kwa kufanya hivyo wanawachisha viongozi wa chadema. Wanasahau kuwa hata wao wanachoka kwa kulala wanawacoach watu wao kama Rudovic.
Hata majaji nai wanapenda watoto wao wakulie kwenye taifa zuri lenye sheria na shule nzuri. Wamechoka na CCM. Wanataka kuwachosha viongozi wa Chadema huku wakiendelea kulibaka taifa letu. Watu hawawataki!!!!
 
Mbowe alisema ni polisi waliorusha bomu, Mchemba akasema ni chadema waliorusha bomu, ajabu ni kwamba ni mbowe tu, ndio anaetakiwa kuleta ushahidi. mbona mwingulu mchemba hatakiwi kutoa ushahidi?
 
Ikifika hatua ya wanahabari kumwamini Mulongo,mtakuwa mnajidhalilisha sana.Mtu mwenyewe hata kujieleza mbele ya kadamnasi hawezi?Inatia shaka sana.
 
Kuangalia mambo gani? Hivi polisi wa Tanzania wanaobambikiza watu kesi kila siku wanaweza kufanya nini? Mbona hujataka ushahidi wa raia kupigwa risasi za moto wakati bomu limerushwa? Hiyo ndo polisi unayotaka ipelekewe ushaidi? Hili ni kundi la majangiri. Wapo polisi wasiopenda hali hii na wapo wachache sana wanaotumiwa na wakubwa wao. CCM mnawezakujipanga na magazeti na polisi ila bado mtashindwa. Matumizi ya polisi ni hatua yenu ya mwisho. Kama JK angekuwa rais kwa toka miaka 30 iliyopita, hakika nchi yetu ingekuwa kama Somalia. Mwanangu wa kike wa miaka 10 ukimpa sifa za watu..ukamwambia achague mkuu wa mkoa kati ya hao watu, hawezi kuchagua Mulongo. Sasa unadhani Mwigulu ns Nape wanaweza kuinasua CCM shimoni? Mnaweza kuorder mabomu mengine kutoka China lakini hamtashinda nguvu za watu. Mulongo anataka kumtafutia Lema kesi isiyo na dhamana na kuvuruga uchaguzi mdogo Arusha. Huwezi kuwa mhuni na ukaongoza mkoa muhimu sana kama Arusha. Aliyemteua Mulongo, Mulongo mwenyewe, Nape, Mwigulu, RPC Arusha ba wengine wengi wanaopewa vyeo na kutumia hela za walipa kodi, hamna sifa za kuwa viingozi. Nyie ni watu wa maigizo tu. Tukiwaita wapumbavu, mnasema hilo neno si zuri. Sasa mjitafutie jina wenyewe.
Mpo busy kufatilia aliyerusha bomu. Je, hao polisi waliowafyatulia risasi raia mmewafanya nini? Au mnasubiri mchina aje kuwatafuta? Kazi hamziwezi. Mmepewa kama zawadi tu ila si kazi zenu. Mmeona wamarekani walivyoserious na kazi zao za ulinzi? Ukimpeleka Mulongo na vilaza wake ukawapa uongozi wa juu Marekani, nchi hiyo itakuwa Somalia kwa muda mfupi. Hivyo tatizo si raia. Ni nyinyi na maigizo yenu.
Maelezo marefu lakini ukiyachambua neno kwa neno unagundua kuwa hakuna neno lililobeba ushahidi zaidi ya udaku wa kwenye vijiwe vya kahawa na ofisi za bavicha.

Ni vigumu sana wakati mwingine kugenga hoja objectively na kueleweka kwa mtu ambaye kwake udaku ndiyo ukweli kwa maana nyingine, fikra zake niza kibavicha bavicha.

Kama mpangilio wa sentensi kwako ni bado ni somo ambalo unahitaji mwalimu, utawezaje kujenga hoja yenye kubeba mantiki ili ijibiwe kimantiki.

Inawezekana hoja yako haikunilenga mimi na hata kama ilinilenga mimi basi sina budi kusema samahani kwa sababu siwezi kuipa majibu kadri unavyotaka kwa vile haina mantiki.

Endelea na ndoto zako za mchana zinazosindikizwa na empty rethoric ukidhani kupiga kelele nyingi ndiyo kupata kile unachokiota kwenye ndoto zako za mchana.
 
Hapo haihitaji hata elimu ya kiintelijensia,

Mwigulu alisema watu watakufa Arusha na wakafa, hamna alofanywa hadi sasa japo Igp kusema watafuatilia usemi wake,

Hizi oropaganda tunaanza kuzizowea, yaani jeshi la polisi na vyombo vya usalama wamekuwa wanasiasa tofauti na malengo yiyo anzisha hivi vyombo. Tytayasikia mengi halafu itatoka kauli HUU NI UPEPO UTAPITA.

Vp aliyesema nchi haitatawalika?
 
Watakufa kama inzi kwa propoganda nyepesi kama Hizi, Siku inakuja
 
tatizo langu hapa ni imani kwa huyu mkuu wa mkoa,sina imani nae kabisaa
 
Mbowe alisema ni polisi waliorusha bomu, Mchemba akasema ni chadema waliorusha bomu, ajabu ni kwamba ni mbowe tu, ndio anaetakiwa kuleta ushahidi. mbona mwingulu mchemba hatakiwi kutoa ushahidi?

Kwani police wameshindwa/choka kupeleleza?
 
Polepole tutafika.

Hizi longo longo zote tunazozisoma hapa JF za baadhi ya watu kusema wanawafahamu waliosababisha haya maafa ya kinyama Arusha lakini wakiambiwa na wapenda AMANI wawatage kwa majina au kuonyesha tu sura zao na ushahidi, lakini wanashindwa kufanya hivyo.

Hii ni sawasawa na genge la wizi ambao wakiiba wanaanza kupiga kelele na kumnyoshea vidole yule waliyemwibia huku wakipiga kelele na kusema mwizi, mwizi, mwizi ili wasijulikane katika macho ya sheria kama wao ndiyo wezi.

They can't fight TRUTH with LIE.

hapo kwenye red una maana gani mkuu?
 
Back
Top Bottom