figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,549
- 62,102
Ni sikukuu madhehebu flani ya kihindi ndo wanaingaia mwaka mpya wao kwa mujibu wa kalenda ya imani yao, Izo ni fataki punguza uoga na matangazo yametolewa Tz nzima wananchi wasishtuke wenzetu wanasherekea mwaka mpya, wewe na wenzako mliwasumbua na fataki zenu tarehe 1 january. Uwe na tabia ya kusoma matangazo kwenye mabango mbalimbali uwe upadated.
Kila ikifika january 1 watanzania huwa mnasherehekea mwaka mpya kwa madebe,fataki na honi za magari. Matangazo ya kuwatahadharisha wananchi wasiogope milipuko ya fataki yamebandikwa kwenye mabo za matangazo kwani wenzetu wiki hii wanasherehekea mwaka mpya wao kwa mujibu wa kalenda ya imani yao.Hizi sikukuu zingine ambazo hazina hodi zitasababisha maafa, ukizingatia wabongo wameshang'atwa na nyoka, wakiona nyasi tu wanashtuka! Kwahiyo hata kama na mimi nina dhehebu ambalo sikukuu yake ni kutembea uchi nitaruhusiwa?
DIWALI HIYO WADAU, kuna jamaa yangu kapata meseji kutoka Zantel wana mu wish Diwali njema
Kuna haja ya kuwa serious kidogo na kuacha kupost upuuzi upuuzi kama huu. ni upuuzi mrindimo wa fataki kuita bomu. kama ulikuwa na lengo la jokes ungepost kwenye jukwaa lake
Kuna haja ya kuwa serious kidogo na kuacha kupost upuuzi upuuzi kama huu. ni upuuzi mrindimo wa fataki kuita bomu. kama ulikuwa na lengo la jokes ungepost kwenye jukwaa lake
halafu tangu jana mimi jana nilijua safari ya ukombo ndiyo imeanza kumbe mafataki..
Acha kiswahili mrefu weye, eti wenzetu? wenzeti ndo kitu gani?Kila ikifika january 1 watanzania huwa mnasherehekea mwaka mpya kwa madebe,fataki na honi za magari. Matangazo ya kuwatahadharisha wananchi wasiogope milipuko ya fataki yamebandikwa kwenye mabo za matangazo kwani wenzetu wiki hii wanasherehekea mwaka mpya wao kwa mujibu wa kalenda ya imani yao.