Mabohora wana Jeshi Tanzania?

Mabohora wana Jeshi Tanzania?

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
4,419
Reaction score
1,929
Nimeona hii kwenye Guardian la leo nikashangaa kidogo kuon hawa Polisi wa kihindi

Bohora.jpg

Members of the Bohra Community in Tanzania take part in a procession to mark the 100th birthday anniversary of their spiritual leader, Dr Sayedna Mohammed Burhanuddin Saheb (TUS), in Dar es Salaam yesterday. (Photo: Omar Fungo)
 
Kwanza mtoa mada umejuaje kama hao ni polisi?
Waweza kuwa ni scouts.
 
mi naona that i just ceremonial dressing......nothing more!
 
wale ni walinzi wa mkubwa wao.yale mavazi yasikutishe ni kama ya chadema tu! tofauti langi.waache waenjoy sherehe yao.
 
Na msisahau hawa ni waislamu wenzetu. kwahiyo ile dhana ya kwamba waislamu tunaonewa sitaki kuisikia tena.
 
Back
Top Bottom