Interesting.........some truth....niliwahi date miss Tanzania contestant....aliwahi umwa na mbwa utotoni.. alikuwa anahangaika dawa ya kuondoa kovu...kabla ya fainali...wasichana wana shida
The Boss vipi huyo bint bado yuko? mwambie asilitoe.
Hii sijawahi kuskia
Hii sijawahi kuskia
Inaelekea unalo wewe..