yaani walitongozana hadharani! mleta mada naomba niwekee maneno zaidi walivyokuwa wakiongea.
Kijana: (Kwa suti ya chini na ya unyenyekevu) Hujanitendea haki mrembo, mbona soda vituu vya kawaida sana?
Binti: (Kwa sauti kubwa) kawaida kwenu nkomme kabisa, mii siiyo changudo.
Kijana: anyway nimekupenda umple mwenye hekima na busara napenda sana ulivyo
Binti: Kampenda shangazi yako nyo.ko zako! ....kifonzoo kirefu
Kijana: plz nielewe naomba nikubalie mpenzi nakupenda usiumize moyo wangu!
Binti: we hani.thi nini moyo wako unanihusu nini mimi, kafie mbele..... kifonzo saizi ya kati!
maongezi yakakatizwa na konda akidai nauli
Kijana anampa konda shilingi elfu kumi kwa kujitutumua, konda akauliza wangapi kijana akajibu wawili ile konda kuuliza tu na nani, jamaa akamwonesha yule binti; Binti sasa ......
Binti: Koma kamlipie mamaako, we konda mruishie change yake mi ntajilipia!
Kijana: bby acha hzo jamani anyway naomba namba yako ya simu basi mi nashuka hapo karakana!
Binti: Nyooooooo namba akupe nani, nyang'au wee, usine vinaelea wewe, NyaniGabu kawekeza hapa mbuzi wa iddi we huna haya.
Kijana: haaa kumbe nyanigabu ndo anakutia kiburi?
Binti: ananifanyeje kiburi, niachie uzaramo wako wewe mshenzi!
Konda kaitisha kituo kijana kateremka!
watu ha aha hahahahaaaaaaaaaaaaa!