Mabinti wanavyowafukuza Wapendwa Watarajiwa

Jamani kahaba/malaya/mapepe/etc haijalishi yuko wapi. kuna watu wapo ofisini ni hoooovyooooo na wengine wapo makanisani ni hooovyooooooo balaa na viouni ndo usiseme. mke au mume anapatikana popote wanapokutana watu

Lakini sio anaeanza na mzinga asubuhi!!
 
Suala la wapi utapata mke/mume bora kwa kweli kipindi ni kigumu sana,
zamani wengi kama siyo wote tuliamini mke/mume mwema,
anapatikana kanisani/msikitini, lakin siku hizi ni tofauti kwa sababu,
hata huko kumevamiwa na matapeli wa mapenzi wengi tu,
lililo muhimu ni kumwomba sana mungu kabla ya kumpata huyo mwenza,
ili angalau akuepeshe na kupata galasa la mke/mume.

Nakubaliana na wadau hapo juu waliosema siku hizi mke/mume anapatikana popote pale.
Lililomuhimu mungu awe amekuongoza kupata huyu mke/mume anayekufaa.
 
Lakin hii nayo ya kuomba omba ni kero,
na inashusha hadhi pia,
je usingeonana na huyo mtu, je shida yako ingetatuliwa vipi???,

mizinga haitakiwa hata kidogo na hasa katika mahusiano mapya....
 
Samahani Shoshte Si wote wanaoenda clubin ni ma Changu .. wengi sana wamekutana na wenza Wao clubbing na kumbi nyingi za strareheWame oa/olewa na familia sasa...Hujui utakutana na uliyepangiwa wapi..Si wote wanakutana ofisini hata kwenye daladala...

point superbly argued...............................congrats 2 u Afrodenzi...................
 
Hivi majuzi kati nilikutana na binti mmoja club fulani hapa jijini. Tukachati hapa na pale, then tukapeana contacts za simu. Nikakaa siku kama tatu hivi, nikam-text, badala ya kujibu akaanza kunibip. Nikampigia simu, tukazungumza kidogo ikiwa ni pamoja na kuweka mihadi ya kukutana jioni ya siku hiyo. Wakati tunafikia mwisho wa mazungumzo msichana akaniambia naomba unitumie vocha ya 10,000/=. Nikamwambia sawa, kimsingi sikumtumia, akaanza kubip, akabip kama mara 3 hivi, baada ya kama saa moja hivi akatuma sms kwamba bado anaisubiria hiyo vocha. Sasa cha kujiuliza hapa ni kwamba hivi hawa wasichana wanaotanguliza njaa hata kabla ya kufahamiana vizuri ni sahihi kweli? Je hiyo si kumfukuza mpendwa mtarajiwa? Hawaoni kwamba hiyo inaonyesha hali ya ngono ya biashara tangu mwanzo ambayo kwa mtu mstaarabu haitamvutia?Nawasilisha.

uzoefu wangu unaniongoza kuamini ya kuwa ukisha toa ahadi ni kuitekeleza tu kwa sababu ahadi ni deni..soma hapo kwenye nyekundu kwa ushahidi wa nyongeza...halafu usidhani ya kuwa kwa vile kakubomu basi yeye ni teja wa ngono la hasha ........................yawezekana hata na yeye anakupima kuwa ni mwepesi kiasi gani kuachia ngawila zako...............kwenye mazingira ya namna hiyo kwanza ulipaswa kumwuliza ni kwa nini anafikiria hela unayo........................kumkubalia harakaharaka ya kuwa utampa ni dhahiri ulikuwa unataka kumfurahisha sasa hikl kigugumizi kinatokea wapi....................mpe hiyo ten halafu uone mwendo ni mdundo au kuna ubabaishaji hapo mbeleni...........
 
Hain kwele mwana wa kwetu,kama vip njoo kitaa kuna mashostito wa ukweli wako poa kichizi...hawahitaji pamba wala chapaaa,weupe,weusi,udhurungi,wanene,wembamba,wakati mpaka mabaunsa na mkikutana cha kwanza anakwambia mwende ibada alafu home,masuala ya cash anakwambia karibu kwao ukatoe mahari....achana kabisa na hao mashobo usije kuta unauhama mji

naomba unipm then ntakuja huko kitaa kwako coz panaonekana si mchezo

back to the topic

dahh chalii huyo uliyekutana naye ni mpigaji hana la maana haiwezekani atoe invoice be for service au ilikuwa ni profoma invoice?
 
Samahani Shoshte Si wote wanaoenda clubin ni ma Changu .. wengi sana wamekutana na wenza Wao clubbing na kumbi nyingi za strareheWame oa/olewa na familia sasa...Hujui utakutana na uliyepangiwa wapi..Si wote wanakutana ofisini hata kwenye daladala...
twenge club Afro D
 
yeye anaomba vocha ya 10000 wakati wewe mwenyewe simu yako credit haizidi 2000, huyo mwizi tu!
 
sio wote wanaoenda club ni machangu ila kauli ya mtoa mada kusema alimbip nakuomba vocha ya 10000 ndo imenisababisha kusema hivyo what do you expect from changu sio mzinga???yuko pale kutafuta urafiki wa kudumu au kuchukua chake mapema asepe??????

ahhhh ok
nimekupata sasa
labda alikuwa anapima maji tu ...
 
Acha ubahili wewe, huyo ni dent mtumie credit
Dent kwenye club au? ila mi, ninachoelewa madent wa hapa Bongo wengi wao ni machangu, makahaba malaya wa kutupwa na wengi wao utafikiri hawana walezi/wazazi wao, 2meshachoka banaaaaa!!!!!!!!!!
 
Usihofu mkuu, hicho ndio kipimo kinachotumiwa na wanawake siku hizi, usiogope go for her if you real feel her
Sawa mkuu ila siku ya siku ktk INVOICE yao watakayonipa cku nikienda kujitambulisha zikatwe hizo za vocha au unasemaje mdauuuuuu???????????
 
Unajua baadhi ya wakina dada wanatutia aibu sana hadi wanwake wote tunaonekena ni wachunaji! Imagine, ni shida gani umekutana na mtu unaanza kumpiga mizinga.

What I have learnt, from my close friends, ukianza tabia ya kupiga mizinga, hutaacha hata ukiwa tajiri. Shida ni kuwa umejiwekewa mawazoni kwamba lazima upewe na mwanaume, hata kama wewe mwenyewe una uwezo! Unaonaje kwenda dinner na mwanaume ukajipia bill yako? Huoni atajua kuwa wewe sio cheap???

wakina dada, hasa wale ambao hawajaolewa, hakuna kitu kinachokera wanaume kama hicho! If you do that, he will realise directly that you are not a wife material.....
 
Unajua baadhi ya wakina dada wanatutia aibu sana hadi wanwake wote tunaonekena ni wachunaji! Imagine, ni shida gani umekutana na mtu unaanza kumpiga mizinga.

What I have learnt, from my close friends, ukianza tabia ya kupiga mizinga, hutaacha hata ukiwa tajiri. Shida ni kuwa umejiwekewa mawazoni kwamba lazima upewe na mwanaume, hata kama wewe mwenyewe una uwezo! Unaonaje kwenda dinner na mwanaume ukajipia bill yako? Huoni atajua kuwa wewe sio cheap???

wakina dada, hasa wale ambao hawajaolewa, hakuna kitu kinachokera wanaume kama hicho! If you do that, he will realise directly that you are not a wife material.....
I like ur signature. But plz dont be a vulture.
 
Back
Top Bottom